SIKU YA DEMOKRASIA DUNIANI
Partenus Niyegira watanzania ni wabinafsi na wanasimama katika umimi pia viongozi wanatoka ktk jamii hiyo hivyo kuendeleza umimi na ubinafsi badala ya kutumikia jamii. Hakuna
masiha au messiah wa kuja kutukomboa katika hali hii ya kukosa utu ........
15 September 2026
PATERNUS NIYEGIRA - WATAWALA WANAONA WAO NDIYO WANAJUA ZAIDI
View: https://m.youtube.com/watch?v=6WwvIxX1vdQPaternus Cleophace Niyegira watu kuitwa wachochezi, wahaini, n.k ni alama za kukosekana demokrasia na uhalisi wa mambo .....
Hakuna uwajibikaji, kukubali hapa nomekosea, kukataa kusikiliza mawazo mbadala .....
Kukashimishwa madaraka kwa watawala kupitia katiba na sheria haki na amani sasa madaraka ya wananchi yameporwa na watawala wenye upaga .. hawataki kuheshimu mkataba wa jinsi madaraka yalivyokasimishwa kwao na wananchi ....
Nchi ipo katika giza nene kutokana na watawala kuteka nyara yale yaliyo katika katiba, sheria kutofuatwa .....
Uhuru wa elimu haupo, wasomi na watu wa kawaida wenye hoja tunduizi wametishwa, wamezibwa midomo, nafasi ya kuongoa kwa uhuru zimebinywa .....
Ustaarabu hakuna watawala wanaenda kinyume cha katiba na sheria, raia wamelegea na kuachia kila kitu kwa viongozi wa kisiasa wababe wasiofuata katiba, sheria na demokrasia .....