Maleven
JF-Expert Member
- Sep 8, 2019
- 689
- 3,373
Taarifa ni msingi mkubwa sana katika vita, ukijua audui yuko wapi anafanya nini, anavifaa gani ni rahisi sana kujipanga kujilinda na kupanga kushambulia.
Live satalite image imeonesha mchango mkubwa katoka vita ya Russia-Ukraine.
Nchi za magharibi zinatumia technolojia hiyo kum locate mrusi,
Russia alijaribu ku install rada katika sehemu ya Nova khakova ila haijasaidia kuzuia live image, tatizo kubwa satalite ziko mbali huwezi kuzidungua kama drone.
Kama sio misaada ya nje, vita ingeisha mapema sana. Russia amepigana na wamagharibi wote
All in all, Bado nabikia kua team russia