russsia anafanya biashara throughout the word via Chinese bank,China anaogopa sanctions, analinda uchumi wake, umeona package kutoka china?
Mchina atasogezewa fupa Taiwan ahangaike nalo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
russsia anafanya biashara throughout the word via Chinese bank,China anaogopa sanctions, analinda uchumi wake, umeona package kutoka china?
1.rwana na burundi zinaweza kumpiga Tanzania kama zitaunga ila sharti ikiwa kama tanzania itakua dhaifu kuliko hao walounganaKwa hiyo Rwanda na Burundi zinaweza kuipiga Tanzania kwa sababu ni nchi mbili kwa mmoja?
Hivyo vijinchi vya ulaya vina ukubwa gani?
Hoja sio idadi ya nchii ni Bali ni akili?
Mbona uingereza ilitawala nchi 23 Africa , sasa nijibu kwa nini nchi 23 hazikujitetea? Ishu sio idadi Bali akili
HeheeeeBwana utam ushakuwa mchungu tayari kwa kipigo sio?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wewe umezungumzia idadi ya mataifa, sasa ilikuwaje uingereza kuyatawala mataifa kibao Kama sio akili?1.rwana na burundi zinaweza kumpiga Tanzania kama zitaunga ila sharti ikiwa kama tanzania itakua dhaifu kuliko hao waloungana
2.UK kuyatawala mataifa ya Afrika niwazi aliwazidi vitu vingi nandio maana akayatawala
Kweli wingi unaweza usiwe hoja ila pia unaweza ukawa hoja sana pale munapoungana kumkabili mtu mmoja maana yake hamumuwezi
Kama UK ilitawala mataifa mengi kama sio yote ya Afrika kwanini waungane na wengine kuikabili RUSSIA maana yake nikwamba RUSSIA alikua na nibora kuliko AFRIKA ndio maana anaungiwa coalition ili kupambana nae
Nijibu kama RUSSIA nidhaifu na hana akili wala hajiwezi kwanini waungane kukabiliana nae !!!??
Sent using Jamii Forums mobile app
UCHINA na fupa la TAIWAN walimsogezea kipindi cha ziara ya PELOSIrusssia anafanya biashara throughout the word via Chinese bank,
Mchina atasogezewa fupa Taiwan ahangaike nalo
Mkuu ukweli haujificho , kama unamjua jamaa anaitwa WARGONZO, ni Russia kindakindaki, hua hapindishi mambo, kifupi tangu mwezi wa tisa uanze upepo wa vita imebadilika kabisa. We have to face realityKuna kitu hujafahamu regarding western countries. ..wanacontrol media zote na shida ilipo media tunaxoangalia nyingi ni zakwao...huwezi pataukweli wote huko vitani wataripoti mabaya yote ya Russia. ..I don't trust hizo media nchi zao zikiwa vitani. ..at least aljazeera but the rest 99% wataandika ubaya wa Russia.
Mie sijasema mkiwa wingi hamtawaliwi wala mkiwa wachache hamtawaliWewe umezungumzia idadi ya mataifa, sasa ilikuwaje uingereza kuyatawala mataifa kibao Kama sio akili?
Nan kasema Russia dhaifu?1.rwana na burundi zinaweza kumpiga Tanzania kama zitaunga ila sharti ikiwa kama tanzania itakua dhaifu kuliko hao waloungana
2.UK kuyatawala mataifa ya Afrika niwazi aliwazidi vitu vingi nandio maana akayatawala
Kweli wingi unaweza usiwe hoja ila pia unaweza ukawa hoja sana pale munapoungana kumkabili mtu mmoja maana yake hamumuwezi
Kama UK ilitawala mataifa mengi kama sio yote ya Afrika kwanini waungane na wengine kuikabili RUSSIA maana yake nikwamba RUSSIA alikua na nibora kuliko AFRIKA ndio maana anaungiwa coalition ili kupambana nae
Nijibu kama RUSSIA nidhaifu na hana akili wala hajiwezi kwanini waungane kukabiliana nae !!!??
Sent using Jamii Forums mobile app
Na hayo anayo yasema jamaa hapo sio yakupuuzwaMkuu ukweli haujificho , kama unamjua jamaa anaitwa WARGONZO, ni Russia kindakindaki, hua hapindishi mambo, kifupi tangu mwezi wa tisa uanze upepo wa vita imebadilika kabisa. We have to face reality
Ujue Russia ni kubwa mara nne zaidi kuliko Europe kwa ujumla wake in terms of total surface area.Nan kasema Russia dhaifu?
Russia rank second in terms of military capabilities.... still anakalishwa kiulaini na Uk mzee wa fitina.
Ni Nan aliwahi kushindana na UK akashindwa?
Russia hachomoki whatever the cost , kaeni Kwa kutulia , yajayo yanafurahshaTaarifa ni msingi mkubwa sana katika vita, ukijua audui yuko wapi anafanya nini, anavifaa gani ni rahisi sana kujipanga kujilinda na kupanga kushambulia.
Live satalite image imeonesha mchango mkubwa katoka vita ya Russia-Ukraine.
Nchi za magharibi zinatumia technolojia hiyo kum locate mrusi,
Russia alijaribu ku install rada katika sehemu ya Nova khakova ila haijasaidia kuzuia live image, tatizo kubwa satalite ziko mbali huwezi kuzidungua kama drone.
Kama sio misaada ya nje, vita ingeisha mapema sana. Russia amepigana na wamagharibi wote
All in all, Bado nabikia kua team russia
Elewa ugumu wa hii vita ni kuwa the entire Europe wanategemea gas, lubes na vyakula toka RussiaMie sijasema mkiwa wingi hamtawaliwi wala mkiwa wachache hamtawali
Ila nimekukumbusha tu kwamba RUSSIA anapambana na wengi licha ya kwamba yuko mwenyewe
Nikukumbushe tu RUSSIA ina vikwazo zaidi ya 10000 na bado wanaishi vyema kama hawana kikwazo tena wameekewa vikwazo na nchi zote mnazo ziita tajri za G7 nawengine ila bado wapo well
Hao RUSSIA unataka wawe naakili kiasi gani!!?
Sent using Jamii Forums mobile app
Umechuja wewe na umetepeta ka himaz🤣🤣🤣Heheeee
Bwana utam kila siku nipo na utam wangu MKUU [emoji16][emoji23][emoji16]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ntakutawala tu kama wewe huwezi kujitegemea na huu ndio ukweli hata kama mchunguElewa ugumu wa hii vita ni kuwa the entire Europe wanategemea gas, lubes na vyakula toka Russia
Urusi kaishiwa akili anatumia gas na chakula to command Europe
Ingekuwa ni China ingeshashambaratikia mbali.
Huwezi kunitawala just bcs you have resources that are extremely vital to my life....
Hivi unajua how rich urusi is in terms of resources? Unajua Russia ndiye mama was ulaya?