Live satalite image, silaha mbaya inayomuangusha Russia

Umechuja wewe na umetepeta ka himaz[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Siwez kutepeta
Wakat SMO inaendelea vyema sana sana na RUSSIA ndio wameshika mpini
Ukitaka kujua hili UKRAINE hawez safirisha bidhaa nje bila KREMLIN
ZNPP umeme wao kwakiasi kikubwa tunawapa sisi
MAURIOPOL watu wanaenda shule kama kawaida
KHERSON referendum itafanywa iwe jua ama mvua
KHARKIV pia
ODESSSA loading....
DPR
LPR
Hizo nisehem sijazo za RUSSIA
Mpaka mwezi huu kuna wa UKRAINE 4M wameingia RUSSIA
Yaani RUSSIA inavuna mpaka watu huko UKRAINE
Vita nisanaa MKUU [emoji16][emoji23][emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
You can Run but you Can not hide
hii ina wahusu Russian army kuna satelite zina mmulika movement zake zote
Yes. You can run, but you can't hide. Even if you try to hide, you can just do it temporarily. BUT eventually your hideout will finally be revealed. It's just a matter of time. Russia is going to lose this war!
 
Taarifa ni msingi mkubwa sana katika vita, ukijua audui yuko wapi anafanya nini, anavifaa gani ni rahisi sana kujipanga kujilinda na kupanga kushambulia.

Live satalite image imeonesha mchango mkubwa katoka vita ya Russia-Ukraine.

Nchi za magharibi zinatumia technolojia hiyo kum locate mrusi,
Russia alijaribu ku install rada katika sehemu ya Nova khakova ila haijasaidia kuzuia live image, tatizo kubwa satalite ziko mbali huwezi kuzidungua kama drone.

Kama sio misaada ya nje, vita ingeisha mapema sana. Russia amepigana na wamagharibi wote

All in all, Bado nabikia kua team russia
At least wewe umepata ufahamu wa kujua haya.

Wengine Pro russia bado wanashangaa kwanin urusi anapigwa na nchi ndogo ukraine lakini ukweli ni kwamba kila kitu kinatoka kwa "western" vifaa, mipango na intelligency.
Putin ilitakiwa awe smart wakati anaingia kwenye hii vita.
 
Siwez kutepeta
Wakat SMO inaendelea vyema sana sana na RUSSIA ndio wameshika mpini
Ukitaka kujua hili UKRAINE hawez safirisha bidhaa nje bila KREMLIN
ZNPP umeme wao kwakiasi kikubwa tunawapa sisi
MAURIOPOL watu wanaenda shule kama kawaida
KHERSON referendum itafanywa iwe jua ama mvua
KHARKIV pia
ODESSSA loading....
DPR
LPR
Hizo nisehem sijazo za RUSSIA
Mpaka mwezi huu kuna wa UKRAINE 4M wameingia RUSSIA
Yaani RUSSIA inavuna mpaka watu huko UKRAINE
Vita nisanaa MKUU [emoji16][emoji23][emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
Wanafunzi wa Yesu walimwambia yule kipofu Bathlemayo kuwa...jipe moyo Yesu anakuita🤣🤣🤣

Nami nasema...jipeni moyo Israel mtoa roho anamuita boss wenu Putin🤣🤣🤣
 
Bwana Utam huwa simwelewi elewi hivi. Nisameheni bure.
Nchi hii kila kitu hutamkwa kinyume...mtu mweusi huitwa white...kiziri huitwa kibaya kinoma.
Jiongeze mkuu ..Bwana utam =..............................................?
 
Sio zelensnky sema nchi za magharibi na washirika wake kama Japan, Australia na Taiwan
mabavu hayana nafas karne hii , hiyo ni dawa ya wanaotumia mabavu km Putin na shosti zake akina Sadam waliokuwa wanaua watu km kuku bila kusahau Ghadaf mchochez wa nchi nying Afrika
 
laumu aliyevamia , ajifunze kuwa tupo karne ya 21 na sio karne ya 16 , mabav hayana fursa
SYRIA ipo na jeshi vamizi la US au wao US bado wapo karne ya 16
Au US anafanya nini SYRIA
Kuweni wapole RUSSIA anapambana namagaidi na lazima ayatokomeze kwa amani na usalama wa dunia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
SYRIA ipo na jeshi vamizi la US au wao US bado wapo karne ya 16
Au US anafanya nini SYRIA
Kuweni wapole RUSSIA anapambana namagaidi na lazima ayatokomeze kwa amani na usalama wa dunia

Sent using Jamii Forums mobile app
Assad ndo wale wale akina Putin , angejiuzulu km Boris au Yule wa Pakistan haya yote yasingetokea , the same to Lukashenko hawa viongoz mpk damu imwagike ndo hutoka madarakan wanahis walizaliwa kuongoza nchi pekee yao
 
Taarifa ni msingi mkubwa sana katika vita, ukijua audui yuko wapi anafanya nini, anavifaa gani ni rahisi sana kujipanga kujilinda na kupanga kushambulia.

Live satalite image imeonesha mchango mkubwa katoka vita ya Russia-Ukraine.

Nchi za magharibi zinatumia technolojia hiyo kum locate mrusi,
Russia alijaribu ku install rada katika sehemu ya Nova khakova ila haijasaidia kuzuia live image, tatizo kubwa satalite ziko mbali huwezi kuzidungua kama drone.

Kama sio misaada ya nje, vita ingeisha mapema sana. Russia amepigana na wamagharibi wote

All in all, Bado nabikia kua team russia
Kuna satellite ziko umbali wa km 500 kutoka usawa wa bahari
 
Taarifa ni msingi mkubwa sana katika vita, ukijua audui yuko wapi anafanya nini, anavifaa gani ni rahisi sana kujipanga kujilinda na kupanga kushambulia.

Live satalite image imeonesha mchango mkubwa katoka vita ya Russia-Ukraine.

Nchi za magharibi zinatumia technolojia hiyo kum locate mrusi,
Russia alijaribu ku install rada katika sehemu ya Nova khakova ila haijasaidia kuzuia live image, tatizo kubwa satalite ziko mbali huwezi kuzidungua kama drone.

Kama sio misaada ya nje, vita ingeisha mapema sana. Russia amepigana na wamagharibi wote

All in all, Bado nabikia kua team russia
Rest in peace mkuu ,umepigania taifa kwa moyo ,ila himas imekuchukua
 
Taarifa ni msingi mkubwa sana katika vita, ukijua audui yuko wapi anafanya nini, anavifaa gani ni rahisi sana kujipanga kujilinda na kupanga kushambulia.

Live satalite image imeonesha mchango mkubwa katoka vita ya Russia-Ukraine.

Nchi za magharibi zinatumia technolojia hiyo kum locate mrusi,
Russia alijaribu ku install rada katika sehemu ya Nova khakova ila haijasaidia kuzuia live image, tatizo kubwa satalite ziko mbali huwezi kuzidungua kama drone.

Kama sio misaada ya nje, vita ingeisha mapema sana. Russia amepigana na wamagharibi wote

All in all, Bado nabikia kua team russia
Komaa tu mkuu!!kweli hali ni mbaya sana kwa pro russia!!kwani daa hii nguvu aliyonayo ukraine kwa sasa sio mchezo!!kumbe RUSSIA ni kama mandonga tu(mtu kazi)
Wafuasi wake walishasema kamwe hawamuachi hadi auawe ulingoni.safi sana
 
EU US + nashost zao hapo zaidi ya mataifa 40 vs RUSSIA
Niwazi kwamba sio safes tuu hata akili RUSSIA kawaacha mbali sana nandio maana mpaka wanaungana na bado wanachemka

Sent using Jamii Forums mobile app
Pro Russia, najua hamuamini kinachomkuta mtemi wanu!!hivi kweli hao EU, USA, toka mwanzo wangeamua sasa tuna msaidia ukraine moja kwa moja, kama ni vita ya tatu ya dunia acha itokee, Mrusi(mandonga)angetia mguu??.Mfano rahisi wewe angalia sasa hivi, baada ya ukraine kupewa silaha na kuanza kushambulia badala ya ile ya awali ya kujilinda tu, nini kina mkuta mrusi, sasa maeneo mengi tu yameshakombolewa.
 
Back
Top Bottom