Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Russia anapigana na Ukraine mkuu. Hakuna nchi nyingine iliyoungana na aidha Russia ama Ukraine. Hizo zingine ni kutaka kutafuta sababu za kushindwa kwa Russia.1.rwana na burundi zinaweza kumpiga Tanzania kama zitaunga ila sharti ikiwa kama tanzania itakua dhaifu kuliko hao waloungana
2.UK kuyatawala mataifa ya Afrika niwazi aliwazidi vitu vingi nandio maana akayatawala
Kweli wingi unaweza usiwe hoja ila pia unaweza ukawa hoja sana pale munapoungana kumkabili mtu mmoja maana yake hamumuwezi
Kama UK ilitawala mataifa mengi kama sio yote ya Afrika kwanini waungane na wengine kuikabili RUSSIA maana yake nikwamba RUSSIA alikua na nibora kuliko AFRIKA ndio maana anaungiwa coalition ili kupambana nae
Nijibu kama RUSSIA nidhaifu na hana akili wala hajiwezi kwanini waungane kukabiliana nae !!!??
Sent using Jamii Forums mobile app
Silaha kubwa ya NATO siku hizi ni sanctions. Lakini ingekuwa hakuna sanctions, Mrusi angepata washirika kama China na mataifa mengine kwenye hii special operation yake.UCHINA na fupa la TAIWAN walimsogezea kipindi cha ziara ya PELOSI
Binafsi niliwaona UCHINA waoga ila wali wa out smart west na wakaplay smart now wanafanya yao
TAIWAN haina jipya zaidi ya kupiga piga tu kelele
Anachoenda kukifanya UCHINA juu ya TAIWAN waulize HONGKONG nawenzie wanakielewa
Ataplay tena kismart zaidi
Sent using Jamii Forums mobile app
Sema baadhi ya vijiji vimeshakombolewaPro Russia, najua hamuamini kinachomkuta mtemi wanu!!hivi kweli hao EU, USA, toka mwanzo wangeamua sasa tuna msaidia ukraine moja kwa moja, kama ni vita ya tatu ya dunia acha itokee, Mrusi(mandonga)angetia mguu??.Mfano rahisi wewe angalia sasa hivi, baada ya ukraine kupewa silaha na kuanza kushambulia badala ya ile ya awali ya kujilinda tu, nini kina mkuta mrusi, sasa maeneo mengi tu yameshakombolewa.
Hij vita ni moja ya vita history itaandikwa kiufupi CIA, Mossad na mashirika yote ya kijasusi yame aim Russian Federation. Mwisho asubuh moja au usiku wa manane mtatangaziwa Muanzilishi wa vita amelala. SoonTaarifa ni msingi mkubwa sana katika vita, ukijua audui yuko wapi anafanya nini, anavifaa gani ni rahisi sana kujipanga kujilinda na kupanga kushambulia.
Live satalite image imeonesha mchango mkubwa katoka vita ya Russia-Ukraine.
Nchi za magharibi zinatumia technolojia hiyo kum locate mrusi,
Russia alijaribu ku install rada katika sehemu ya Nova khakova ila haijasaidia kuzuia live image, tatizo kubwa satalite ziko mbali huwezi kuzidungua kama drone.
Kama sio misaada ya nje, vita ingeisha mapema sana. Russia amepigana na wamagharibi wote
All in all, Bado nabikia kua team russia
Lakini si tulikubaliana kuwa sanctions hazifanyi kazi!! 🤔Silaha kubwa ya NATO siku hizi ni sanctions. Lakini ingekuwa hakuna sanctions, Mrusi angepata washirika kama China na mataifa mengine kwenye hii special operation yake.
Vita ingekuwa kali sana na hapo ndo Ukraine ingebaki magofu tupu.
This guy is talking too much and nothing he has achieved in this war. And, he has to reconcile with waives first, I heard somebody fucked one of his waives.🇷🇺⚡Ramzan Kadyrov addressed and criticized the situation in the Kharkiv direction of the special military operation in Ukraine:
- I, Ramzan Kadyrov, officially declare to you that all these cities will be returned back. Our guys are already there. Another 10,000 fighters are ready to leave;
- In the near future we will reach Odessa, you will see concrete results;
- I'm not a strategist, as in the Ministry of Defense. But mistakes were made. I think they will draw conclusions. When you tell the truth to your face, you may not like it. But I love to tell the truth. We talked with the commanders at the fronts;
It's a shame that nothing was said for several days. It is clear that people were not prepared for this. We always talk about our work;
- If today or tomorrow changes are not made to the conduct of a special military operation, I will be forced to contact the country's leadership in order to explain to them the situation on earth. She is very interesting, “awesome” I would say;
- The fact that several villages and cities were given to them, there are several pluses in this. We did not advertise, but we have a special task. Our guys stood up and started their work;
- In the near future we will meet with the military commanders, we will explain to them what patriotism is. Patriots should not be offended if someone did something wrong. We must unite people around ourselves;
- I know one thing. Russia will win. NATO weapons will be suppressed by the spirit of our fighters. Our hands and feet are already trembling.
Naona mnaamisha magoli ,baada ya kushindwa vibaya,eti sanctionsSilaha kubwa ya NATO siku hizi ni sanctions. Lakini ingekuwa hakuna sanctions, Mrusi angepata washirika kama China na mataifa mengine kwenye hii special operation yake.
Vita ingekuwa kali sana na hapo ndo Ukraine ingebaki magofu tupu.
Sijamaanisha hivyo ni kama vile tu Ukraine alivyopata washirikaNaona mnaamisha magoli ,baada ya kushindwa vibaya,eti sanctions
Amesahau alivyoipiga Agentina kama mbwa kokoUmetumia kigezo ambacho hakipo, hivi unajua uingereza pekee kwa vifaa na technology yao inaweza kupiga bala zima la Afrika kama bila kua na external interference?
Russia sio ukubwa wa eneo, isome tena katika nyanja ya kijeshi na mambo mengine utaijua
Kama alivyokua anaongoza mjawalaana elizabethAssad ndo wale wale akina Putin , angejiuzulu km Boris au Yule wa Pakistan haya yote yasingetokea , the same to Lukashenko hawa viongoz mpk damu imwagike ndo hutoka madarakan wanahis walizaliwa kuongoza nchi pekee yao
Wanangojea nn waingiePro Russia, najua hamuamini kinachomkuta mtemi wanu!!hivi kweli hao EU, USA, toka mwanzo wangeamua sasa tuna msaidia ukraine moja kwa moja, kama ni vita ya tatu ya dunia acha itokee, Mrusi(mandonga)angetia mguu??.Mfano rahisi wewe angalia sasa hivi, baada ya ukraine kupewa silaha na kuanza kushambulia badala ya ile ya awali ya kujilinda tu, nini kina mkuta mrusi, sasa maeneo mengi tu yameshakombolewa.
Vikwazo zaidi ya 9000 aloekewa RUSSIA na wamagharibi aliekewa nanani nakwasababu ipiRussia anapigana na Ukraine mkuu. Hakuna nchi nyingine iliyoungana na aidha Russia ama Ukraine. Hizo zingine ni kutaka kutafuta sababu za kushindwa kwa Russia.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hij vita ni moja ya vita history itaandikwa kiufupi CIA, Mossad na mashirika yote ya kijasusi yame aim Russian Federation. Mwisho asubuh moja au usiku wa manane mtatangaziwa Muanzilishi wa vita amelala. Soon