Live satalite image, silaha mbaya inayomuangusha Russia

Russian Federation ni kubwa jinga tu.
 
Russia anapigana na Ukraine mkuu. Hakuna nchi nyingine iliyoungana na aidha Russia ama Ukraine. Hizo zingine ni kutaka kutafuta sababu za kushindwa kwa Russia.
 
Sikutegemea kwa mkwara alioingia nao Urusi angerudi nyuma hivi au kuona tena baadhi ya maeneo Ukraine wanayachukua tena..
 
hizi nchi za kikomunist hua ni burudan kwenda mbele wazee wa show show cheki hapa walikua na limsafara la km64 kuelekea kyiv
wakat huo Eye in the sky wanaume wana wazoom tu

huo msafara uliishia kunusa matterCall ya kyiv tu maana ulikumbana na dhoruba moja ya hatari

majamaa yaka kimbilia kherson kwenda kujipanga upya napo kipigo kimewafata tena
siku sio nying andunje anaweza fanya maamuzi ya kukurupuka kuhusu ukraine ndo Dunia itakapo mgeuzia kibano
 
Silaha kubwa ya NATO siku hizi ni sanctions. Lakini ingekuwa hakuna sanctions, Mrusi angepata washirika kama China na mataifa mengine kwenye hii special operation yake.

Vita ingekuwa kali sana na hapo ndo Ukraine ingebaki magofu tupu.
 
Sema baadhi ya vijiji vimeshakombolewa
 
Hij vita ni moja ya vita history itaandikwa kiufupi CIA, Mossad na mashirika yote ya kijasusi yame aim Russian Federation. Mwisho asubuh moja au usiku wa manane mtatangaziwa Muanzilishi wa vita amelala. Soon
 
🇷🇺⚡Ramzan Kadyrov addressed and criticized the situation in the Kharkiv direction of the special military operation in Ukraine:

- I, Ramzan Kadyrov, officially declare to you that all these cities will be returned back. Our guys are already there. Another 10,000 fighters are ready to leave;

- In the near future we will reach Odessa, you will see concrete results;

- I'm not a strategist, as in the Ministry of Defense. But mistakes were made. I think they will draw conclusions. When you tell the truth to your face, you may not like it. But I love to tell the truth. We talked with the commanders at the fronts;

It's a shame that nothing was said for several days. It is clear that people were not prepared for this. We always talk about our work;

- If today or tomorrow changes are not made to the conduct of a special military operation, I will be forced to contact the country's leadership in order to explain to them the situation on earth. She is very interesting, “awesome” I would say;

- The fact that several villages and cities were given to them, there are several pluses in this. We did not advertise, but we have a special task. Our guys stood up and started their work;

- In the near future we will meet with the military commanders, we will explain to them what patriotism is. Patriots should not be offended if someone did something wrong. We must unite people around ourselves;

- I know one thing. Russia will win. NATO weapons will be suppressed by the spirit of our fighters. Our hands and feet are already trembling.
 
This guy is talking too much and nothing he has achieved in this war. And, he has to reconcile with waives first, I heard somebody fucked one of his waives.
 
Amesahau alivyoipiga Agentina kama mbwa koko
 
Assad ndo wale wale akina Putin , angejiuzulu km Boris au Yule wa Pakistan haya yote yasingetokea , the same to Lukashenko hawa viongoz mpk damu imwagike ndo hutoka madarakan wanahis walizaliwa kuongoza nchi pekee yao
Kama alivyokua anaongoza mjawalaana elizabeth
Kama wakiamua kuongoza milele sinitaifa lao nyie linawahusu nini
Kama mnapinga RUSSIA kuivamia UKRAINE kisa taifa huru
Inatakiwa muache kuziamulia nchi zawatu wengine namna yakuziendesha sababu pia nimataifa huru
SAUDIA usalama wake unadhamini kwa zaidi ya 90% na US na shost zake kwanini wasianze na huyo
UKRAINE kahatarisha usalama wa RUSSIA lazma ashughulikiwe kama AFGHANISTAN walipohatarisha usalama wa US na vibwengo wenzie nao walishughulikiwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanangojea nn waingie

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Russia anapigana na Ukraine mkuu. Hakuna nchi nyingine iliyoungana na aidha Russia ama Ukraine. Hizo zingine ni kutaka kutafuta sababu za kushindwa kwa Russia.
Vikwazo zaidi ya 9000 aloekewa RUSSIA na wamagharibi aliekewa nanani nakwasababu ipi
Sina sababu nnayoitafta MKUU

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hij vita ni moja ya vita history itaandikwa kiufupi CIA, Mossad na mashirika yote ya kijasusi yame aim Russian Federation. Mwisho asubuh moja au usiku wa manane mtatangaziwa Muanzilishi wa vita amelala. Soon
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sawa kakojoe ukalale

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…