Live Streaming: Mtongozano Kiutu uzima

mkuu kiwatengu sikufikii ww maana ww ni mkogwe

acha kabisa haya mambo hayana ukongwe bana..
huyu wako mamaafacebook ni hatari sana, kabla hajawa wako niliwahi kukutana nae somewhere..
daah hii iwe siri tu coz if my wife get this ni mbayaa
 
Last edited by a moderator:

kiwatengu umedhamiria kabisa kunivunjia ndoa yangu ww nilipokua na babu yako Asprin sikukuona kusogeza maneno leo nimepata tulizo la roho naona umeamua kabisa kuvunja nyumba yangu ushindwe na ulegee na.upoteee usionekane lol
 
jenga ndoa yako juu ya mwamba imara.
haitatikisika kamwe.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…