Live Streaming: Mtongozano Kiutu uzima

sr bachelor umenikimbia kule kumbe uko huku ndo nin umelala na mkeo hata salam.hamna au mpaka kila siku akuanze ww kama ushapata pa kuchepuka na ww pia useme mana sikulewi

kiwatengu usione hapa
 
Last edited by a moderator:
Nimemis kutongoza eti some body nimtongoze kwa maneno matamu come this way
 
😉😎😉😉😉😉
Ndo umekuja? hakikisha hauna mtu, au kama unaye hakikisaha hamiliki silaha(bunduki) akiwa na panga hamna shida tatzo ni hiyo nyingne kupona ni nadra sana maana kwa mistari hautachomoka
 
Ndo umekuja? hakikisha hauna mtu, au kama unaye hakikisaha hamiliki silaha(bunduki) akiwa na panga hamna shida tatzo ni hiyo nyingne kupona ni nadra sana maana kwa mistari hautachomoka

Ahhhhha ahhhhha nilikua napita tu mie
 
Hahaha hivi huu uzi kumbe umekuwa updated sikuona aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…