Valentina
JF-Expert Member
- Oct 12, 2013
- 24,684
- 28,777
Mkuu mbona sikuelewi? Mimi nipo namsubiria huyo mtalajiwa nimpe verse nifunge nae ndoa.
Wewe,nakutaka haraka sana pale
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu mbona sikuelewi? Mimi nipo namsubiria huyo mtalajiwa nimpe verse nifunge nae ndoa.
Hivi nani anayetaka kumtafutia mke Rich pol? Huyo na Daudi1 ni misukule yetu mimi na Valentina. Tunawarudisha kwenye chupa hatuwatoi.
Excel na kiwatengu hamuoni kwanini siku zote hizi hawapati?
Hatoki mtu hapa.
Excel kaka yangu undugu utaisha unajua. Sisi tunajua kazi yao humu ndani.
Valentina my luv majenereta yanaondoka, kuna mpambe nuksi kaingilia kati huku inabidi tudili naye.
Usijali mi naeka dawa vizuri,hawatoki hawa....
Inawezekana mfuniko hatukuufunga vizuri. Ngoja nikuchekeshe sasa huyo mke anayemtaka Daudi1 ni wa Excel, naye hataki kumwacha anataka mitala. Matokeo yake msukule wetu umebaki unashangaa shangaa.
Tuliwaambia sisi mbona watakesha humu. Huyu mwingine nimefunga vizuri hatoki kabisa humu kwenye chupa.
Bantu lady nitakupa verse sasa hivi ulainike uje mwenyewe, si unanijua? Mpaka mumeo akaja kukuokoa ulikuwa umeshaishaInawezekana mfuniko hatukuufunga vizuri. Ngoja nikuchekeshe sasa huyo mke anayemtaka Daudi1 ni wa Excel, naye hataki kumwacha anataka mitala. Matokeo yake msukule wetu umebaki unashangaa shangaa.
Tuliwaambia sisi mbona watakesha humu. Huyu mwingine nimefunga vizuri hatoki kabisa humu kwenye chupa.
Inawezekana mfuniko hatukuufunga vizuri. Ngoja nikuchekeshe sasa huyo mke anayemtaka Daudi1 ni wa Excel, naye hataki kumwacha anataka mitala. Matokeo yake msukule wetu umebaki unashangaa shangaa.
Tuliwaambia sisi mbona watakesha humu. Huyu mwingine nimefunga vizuri hatoki kabisa humu kwenye chupa.
Wewe,nakutaka haraka sana pale
hahahaaa!!! mbona unaogopa saaana kuniita? mi navuruga tu, kwani nini bana! na wewe kama unataka mume, sema nikuweke sokoni...
Njoo tupige game la mwisho si unajua kesho nafunga ndoa
hahahaaa!!! mbona unaogopa saaana kuniita? mi navuruga tu, kwani nini bana! na wewe kama unataka mume, sema nikuweke sokoni...
Bantu lady nitakupa verse sasa hivi ulainike uje mwenyewe, si unanijua? Mpaka mumeo akaja kukuokoa ulikuwa umeshaisha
Hahahaaaaa safi sana,mbona wanalo? Tena hakikisha umekaza kabisa mfuniko hata hewa isipenye. Na huyu daud1 nimembana kisawasawa hata kujigeuza hawezi
Nasikia unatafutiwa mke ni ya kweli? nawewe umekubali?
Hiyo ndoa hata angani haifungwi,chezea mahora wewe!!
Nimeamua kuoa wewe si unaniambia nife! Njoo basi nyumbani tuongee.
Mimi hapa nimefika,Habari za humu mjengoni
Hapa sina kaka aisee. Mmmmh hebu sample ya huyo mume kwanza.