Heaven on Earth
Platinum Member
- Mar 21, 2013
- 37,234
- 26,756
Watawapangia hapo mlangoni......wasikilizeni.Ila pia wakati wanamtoa binti mtatolewa hela.Sikilizieni hapo.Fulu nyimbo hapo......
Ni kawaida......ni mambo ya pesa.Subir niwaite wapokea posa@watu8 Baba V IGWE ladyfurahia masopakyindi Bujibuji,@nndusyepo Gwakilingo.......Mungu wangu, hayo maandalizi..!
kuna umati wa watu utadhani ndio harusi....
Ni ya kijana wa kaka yangu anaoa kwa Wanyakyusa.
Nitakuwa nawapa up dates yatakayojiri.
mambo ya Tumbogele Tumbogele.....
bado tuko nje tunangoja kukaribishwa, kuna mzee kaja hapa kasema 'TWAMASIKU'
bado tuko nje tunangoja kukaribishwa, kuna mzee kaja hapa kasema 'TWAMASIKU'
Ndo tunaimba tena wapambe......!Fagia uwanja wageni waingie,wageni waingie,wageni waingie......vigelegele jamani.
Huke mbona full vigele gele
Vipi huyo bwana Harusi mtarajiwa anaonekana
Bwana harusi kaonekana.......mambo yamenoga hatari.
Mtambuzi mwenyewe atabaelezea.....
hapa naona ni mwendo wa soda tu, hakuna contensa wala nini..
sijui ni walokole hawa!
wametandika vitenge vya wax chini na wameweka effu kumi kumi zinafika laki moja na sie tunapita juu ya wax tunaweka elfu kumi kumi. mpaka sasa zimeshatutoka laki moja. kazi ipo
Nilikwambia mkuu.....tushapanga.Sasa bado pesa yakumfichua bibie.
Ni mwendo wa vya sukar mpaka mate yabadirike rangi Heaven on earth nakuona hapo.....