LIVE: Tunaelekea kwa Wanyakyusa kupeleka posa...

hivi sasa mawifi wanamvisha mwali Wax...
vigelegele kwa wingi...
 
jamaa wanapenda lugha yao hawa, wanaongea kikwao tu..
nimesikia Mmoja anamuuliza mwenzake..
'FII KUTI KUVONEKA..'
 
ama kweli milima haikutani, nimekutana na mdada mmoja ni ndugu wa mwali mtarajiwa, nilijuana naye kitambo kidogo, lakini inabidi nimchunie maana mama ngina yupo, asije lianzisha....
 
Kila la heri. hapo mafinga kuna ndugu zangu wape salamu sana.
 
hivi sasa mwali ndio anatoka uwanjani..
Wanaimba 'Ambanyile Ambanyile...'
 
baba mkwe anatoa nasaha zake, ndio tushaoa kimila hivyo tusubiri kanisani...
 
Jiko la kinyakyusa kulipata si kazi ndogo.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
duh wamewapikia nini na nini?
mjini huku tunaita phamvu.
Hapo lazima bembe la haja lipikwe
 
ama kweli milima haikutani, nimekutana na mdada mmoja ni ndugu wa mwali mtarajiwa, nilijuana naye kitambo kidogo, lakini inabidi nimchunie maana mama ngina yupo, asije lianzisha....

Vipi ulimpitia? Lol
 
Usisahau kuvaa "Helment". Kule nondo ni sehemu ya maisha yao.

Mengine ni Mengineyo tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…