LIVE: Tunaelekea kwa Wanyakyusa kupeleka posa...

Last edited by a moderator:
Hapana bhana....ujue mali inapangwa kimila,na sijui huyo ni mnyak wa wap.Na je hiyo ndo imliyoanziwa?au ndo imepunguzwa?
Kwa mila zetu ni mwiko ku bargain because it is not business transaction, tukipangiwa mahari tunatoa bila kuomba punguzo...
 
Kwa mila zetu ni mwiko ku bargain because it is not business transaction, tukipangiwa mahari tunatoa bila kuomba punguzo...

Ofcoz sio biashara ingawa kuna wengine wanaombaga poooo......!
Sio mbaya lakin.....ndagha mmalile imbombo.
 
Kila la kheri...apataye mke amepata kitu chema
 
Kweli kiswahili kimetukataa. Kilimanjaro ni nyingi na ni pana

Hakijatukataa bali nikuwa ukisema mfano Dodoma tunajua ni Ugogoni
Lakini ukisema Kilimanjaro kuna Machame, Kibosho, Marangu nk
Sasa yeye anatoka Kilimanjaro ipi
Ni hilo Tu King'asti.

Bazazi!
 
Last edited by a moderator:
Hakijatukataa bali nikuwa ukisema mfano Dodoma tunajua ni Ugogoni
Lakini ukisema Kilimanjaro kuna Machame, Kibosho, Marangu nk
Sasa yeye anatoka Kilimanjaro ipi
Ni hilo Tu King'asti.

Bazazi!

swali lako lilishajibiwa, fuatilia comments katika uzi huu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…