Asprin
JF-Expert Member
- Mar 8, 2008
- 68,223
- 96,083
Huhuhuhuuuuu Inategemea n'tu na n'tu mamito!We nawe?
Mibuzi ya siku hz mnachunika?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huhuhuhuuuuu Inategemea n'tu na n'tu mamito!We nawe?
Mibuzi ya siku hz mnachunika?
Mlete huyu binti Faiway leo aitumikie adhabu stahili.
Mtoto Mbaya sana yule
Huhuhuhuuuuu Inategemea n'tu na n'tu mamito!
Hehehehehe.......... Ntampeleka Makuti bana. Full Kiyoyozi, magodoro ya comfy.Halafu arudije kwao Sinza toka Tegeta?
Au ndo unataka uende nae Mwarobaini chumba elfu 2500, kunguni kibao.
Umtuweee charminglady wangu.
Kwa kawaida huwa sijiandaagi. Huwa najilipua pale inapobidi.Haya,
Wewe unachunika?
Ila kaa standBay si umeona makitu yangu ya kunyimana pumzi?
Jiandae.
Kwahiyo wakati nakusalimia kwa jina la marejesho ulijisikia raaaaha! Ntakuchapa nakwambia!
Kiukweli nimeikubali surprise yako. babu pia kafurahi kukuona. Sasa kaa mkao wa kukaguliwa ili ukirudi Mwanza vijana wawe na uhakika.
Waambriiiiieeee..!!!
Si ukuje pande hii ya Bunju unisaidie kuvuna matikiti?teh teh babuuuuu.... ukaguzi wapi thatha!
Ila we mbaya!
Umejikausha kauu!!
Dah! Haijawah kutokea shosti.
Hehehehehe.......... Ntampeleka Makuti bana. Full Kiyoyozi, magodoro ya comfy.
BTW ndo nini kumzushia mzee wa watu kaRIP wakati ndo kwanza anatujengea chimbo la floor nne? Ushindwe na ulegee.
Kwa kawaida huwa sijiandaagi. Huwa najilipua pale inapobidi.
Mamito bado mko brajec???
Mamito bado mko brajec???
sasa hiyo ndo yaitwa surprise....
babu @Asprin sitArudia aiseeeee!
Keroroooo ni hostel za SAUT teh teh
Nimeamini umeondoka mitaa hii kipindi sana. Buku 7? Afu mabaamedi watapelekwa wapi sasa?Zee zima unampeleka mrembo kama yule kwenye guest za elfu 7?
Hapo makuti ndo umeona chiiimboo??
Wakati watu tumepazindua wenyewe.
Bhana me nilisikia kafa,labda yule demu wake mweupe mlieshare nae ndo kaamua kupakaza.
Hko kitu cha floor 4 chajengwa wapi?
Umesamehewa mpenzi,sasa hiyo ndo yaitwa surprise....
babu @Aspirin sitArudia aiseeeee!
Keroroooo ni hostel za SAUT teh teh
Si ukuje pande hii ya Bunju unisaidie kuvuna matikiti?
Au kama umezidiwa, niko hapa Port view natoa lock (Source Blaki Womani) ya jana
Nimeamini umeondoka mitaa hii kipindi sana. Buku 7? Afu mabaamedi watapelekwa wapi sasa?
Pale nyuma ya Baa mpya mpakani na mwarubaini kinaporomoshwa kitu. Nshabuku room moja kwa mwaka mmoja. Ntakizindua na wewe.