Mkuu wale walikuwa nyumbani! Kumbuka mwaka jana TP mazembe alikula 3 bila pale Msumbiji.Wamecheza vzr sana Songo ila FINISH yao ni mbovu.
Tumefungwa ndyo lkn hiyo sio sababu yakutozungumzia mapungufu yenu kwenye mechi ya leo.Sawa mchambuzi, hebu basi tuchambulie na kinachotokea Kwa Mkapa
Bocco na Mkude sijui kwanini wanachezeshwa?View attachment 1177624
Game itarushwa live AzamSportsHD na AzamSports2
Livestream link ya Simba Sc
Simba SC Tanzania
⚽️🏆🌍 Welcome to the Official Simba Sports Club YouTube channel. Simba Sports Club is the most successful club in the history of football in East Africa. Enjo...www.youtube.com
Eti Mkude kacheza Ibrahim nje Mkude pass anawapa wapizaniMbona Wabrazil wote wameanzia nje! Tatizo ni nini hasa? Halafu Ajib yupo majeruhi? Au ndiyo amemfuata rafiki yake Tshabalala ili wasugue benchi?
Umeona Mkude sio kiungo mzuri alikuwa analindwa na KoiteLeo simba wanacheza mpira wa kijinga sana huu.
Hapo midfield wamtoe Mkude au huyo Msudani wanapoteza mipira kijinga kijinga sana.
Bocco anawachosha viungoWapinzani wana press sana viungo wetu hawapati muda wa kukaa na mpira
Siku hazifanani,kuanza mashindano haya mwanzo was msimu ni ChangamotoTumefungwa ndyo lkn hiyo sio sababu yakutozungumzia mapungufu yenu kwenye mechi ya leo.
Ajibu majeruhi yupo Dar ulitaka iwaje mzeeE
Eti Mkude kacheza Ibrahim nje Mkude pass anawapa wapizani
Hapo ndipo huwa nakuheshimu mkuu "you call a spade a spade and not a jembe ". Hata Yanga hapo ndio mwisho wake labda aje na plan B ya kueleweka.SIMBA AU SONGO YEYOTE ATAKAEPIGWA HANA PAKWENDA TENA.
Yap nimeanza leo mkuu!Daah mzee umeanza leo kifuatilia mambo ya mpira nini?
sasa wataendeleaje wakati wameshafungwa?
Na mi ndio najiuliza hivyo hivyo!Hata mimi najiuliza, hivi UD Songo kwa mfano akafungwa game ijayo, je, wataendelea mbele au ndo basi?
Mkuu kweli kabisa,, nlivoona kahata anaenda benchi nikaona sasa mambo magum zaidi! Boko nae sijui uchovu wa kenya? Hata nae nyoni bado ana uchovu,,FT Songo 0- Simba 0
Simba imeonyesha mchezo hafifu
Mkude alilna kashindwa kabisa kucheza akaanza kukanyaga tu wenzie!!! Ila n matakeo mazuri kwa simba!!Bocco na Mkude sijui kwanini wanachezeshwa?
Hayo sio matokeo mazuri kwa Simba abadan.Mkude alilna kashindwa kabisa kucheza akaanza kukanyaga tu wenzie!!! Ila n matakeo mazuri kwa simba!!
TP MAZEMBE kweli alioga 3-0 halafu kule Congo TP wakapindua kwa 4-0Mkuu wale walikuwa nyumbani! Kumbuka mwaka jana TP mazembe alikula 3 bila pale Msumbiji.
Nawapa kongole simba kiukweli! Sidhani kama wakija taifa watatoka!! Labda iwe simba baridiiii na sio hii tunayoifaham ikiwa taifa
Vipi angelala 1-0 AU 2-0 Pale Songo?.. ndio game ya pili ingekuwa nyepesi dar?Hayo sio matokeo mazuri kwa Simba abadan.
Kwanini. Ili Simba apite anahitaji ushindi tu.
Lakini mpinzani wake anahitaji ushindi au sare ya magoli.
Simba angepata hata sare ya magoli kwake ndio ingekuwa faida.
Mkude sio kiungo hata taifa anaharibu kazi yake kucheza kwa fujoAjibu majeruhi yupo Dar ulitaka iwaje mzee
Mkude sio kiungo hata taifa anaharibu kazi yake kucheza kwa fujoAjibu majeruhi yupo Dar ulitaka iwaje mzee