Jane Lowassa
JF-Expert Member
- May 10, 2016
- 4,955
- 9,041
Fuatilia press aliyofanya kubwa-jinga Mwakalebela jana ewe kidimbwiwapi yanga alisema akifungwa anajitoa
alilalamika maamuzi mabovu ya waamuzi na sio akifungwa anajitoa
yanga akijitoa radha itaisha mbio za T.K Master utaziona wapi?
alisema yanga ikifungwa inajitoa hahahahaFuatilia press aliyofanya kubwa-jinga Mwakalebela jana ewe kidimbwi
Game saa NGAPI bossLeo naona kama kuna beki wa Mtibwa atajifunga goli. Nawaza tu
Sa moja usiku MkuuGame saa NGAPI boss
Mbio zake tutaziona kwenye racing show azam sport hdwapi yanga alisema akifungwa anajitoa
alilalamika maamuzi mabovu ya waamuzi na sio akifungwa anajitoa
yanga akijitoa radha itaisha mbio za T.K Master utaziona wapi?
Ila siku tunacheza na waarabu utawaona kimbelembeleBora mkuu umejitolea kuanzisha uzi wa mechi ya leo manake Uto wamesusa hawataki hata kutujuza yanayojiri uwanjani kwenye mechi zao.
Si tunataka mpira kama unataka mbio nenda kwenye riadhawapi yanga alisema akifungwa anajitoa
alilalamika maamuzi mabovu ya waamuzi na sio akifungwa anajitoa
yanga akijitoa radha itaisha mbio za T.K Master utaziona wapi?
wapi yanga alisema akifungwa anajitoa
alilalamika maamuzi mabovu ya waamuzi na sio akifungwa anajitoa
yanga akijitoa radha itaisha mbio za T.K Master utaziona wapi?
Iwe jua iwe mvua Mtibwa lazima afe leo
Tumebidi tuwaanzishie thread coz tunaona kimyauzi umejaa mikia tupu ndani ya dk 90 watapotea