Huo ndiyo mpango mzee. Tunatakiwa tuwe kama tunamchangia. Uchukue wewe au mimi ila siyo kipara 😃nyie hata mkichukua ubingwa mimi sina shida ukiiukosa wewe nichukue mimi ila sio kipara pambaneni kwa hilo mkuu.
Unamchangia na nani?Huo ndiyo mpango mzee. Tunatakiwa tuwe kama tunamchangia. Uchukue wewe au mimi ila siyo kipara [emoji2]
Uzuri ni kwamba Man City ndiye next victim wetu na siku hazigandi. Tutakutana naye muda si mrefu.Unamchangia na nani?
Mwenzio kibarua chake na City kimeshaisha na tayari wameshagawana points.
Kimbembe kiko kwako mechi inayofata utakua kwenye dimba la Ettihad, hapo kila mmoja ashinde tu mechi zake lakini sio kupeana false hopes eti tunamchangia kwani City amesema anahitaji michango yenu?
Mashabiki wa Asaninyau bana akili zao kama watoto wadogo "eti tuwe kama tunamchangia"[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Leo Porto akiwatoa CL mtakua very despirate siku ya kukutana na City mtakua mko na low confidence hapo Kipara ndio atawakanda vizuri zaidi goli zisizo pungua 6, halafu mechi zitakazofata itakua ni mwendo wa draw na lose mpaka ligi inaisha.Uzuri ni kwamba Man City ndiye next victim wetu na siku hazigandi. Tutakutana naye muda si mrefu.
Acha tuanze kwanza na Porto. Tunatakiwa kupambana sana leo ili tushinde kwa magoli mawili zaidi ya Porto.
Je sisi tukimtoa porto itakuwaje?[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Leo Porto akiwatoa CL mtakua very despirate siku ya kukutana na City mtakua mko na low confidence hapo Kipara ndio atawakanda vizuri zaidi goli zisizo pungua 6, halafu mechi zitakazofata itakua ni mwendo wa draw na lose mpaka ligi inaisha.
Salama yenu leo mkomae mumtoe Porto kitu ambacho pia sio rahisi.