Liverpool FC (The Reds) | Special Thread


Sijasema hana mchango! Mimi ninachokosoa ni zile hype anazopewa utazani ni World Class kumbe ni average player tu.

Hizo Takwimu sio numbers za Striker unayetegemea kukupa Makombe.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Nuno Mendez kabla ya game kuanza alimwambia Salah " You will never walk alone"
Halafu ukiachana na Vitinha kuna tactician wa kuitwa Luis Fabian huyu jamaa ni mido haswa ni underrated player ila ndio engine ya Psg.
 
Sasa mpira hauko hivyo.

2015/16 Real madrid wanashinda UCL kwa kupita route hii.

16 bora vs AS Roma
Robo fainali vs Wolfsburg
Nusu fainali vs Man city (sio European heavyweight kwa wakati huo)
Fainali vs Atletico

Akabeba.

Chelsea 2011/12
16 bora vs Napoli
Robo vs benfica
Nusu vs Barca
Fainali vs Bayern

Umeona iyo 16 na robo?

Barcelona 2010-11

16 bora vs Arsenal
Robo vs shakhtar
Nusu vs Real madrid
Fainal vs nyumbu

Umeona iyo 16 na robo.


Mifano ni mingi tu.
Kupita ruti ngumu/nyepesi haku dictate bingwa wa michuano.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Nuno Mendez kabla ya game kuanza alimwambia Salah " You will never walk alone"
Halafu ukiachana na Vitinha kuna tactician wa kuitwa Luis Fabian huyu jamaa ni mido haswa ni underrated player ila ndio engine ya Psg.
Unao na hawa?
 
Mkuu huamini uwepo wa Mungu ila cha ajabu una amini mambo ya Bahati?
Inategemea na jinsi wewe unatafsiri neno bahati.

Kwangu mimi bahati naiona kama concept of randomness ambayo ni sehemu ya asili ya ulimwengu inayokubalika kisayansi.

Kwa hiyo kama tunazungumzia kuhusu jambo fulani ni bahati nzuri au bahati mbaya maana yake tunajadili outcome ya randomness.

Ila kama kwako neno Bahati lina maana ya supernatural power au kuwa influenced na some sort of deity hapo ndio utofauti unapokuja.

BTW mimi kuwa atheist hakunizuii kutumia maneno ambayo ni common kwenye jamii.

Nikipata mshangao naweza nika react kwa ku scream "Oh my God", "Jesus Christ" "Subhanalaah" na bado isiathiri msimamo wangu wa kutoamini Mungu.

Ni kama tu wewe ambavyo unatumia majina ya siku za wiki ambayo kimsingi ni majina ya Miungu ya kipagani. Sunna (Sunday), Mona (Monday), Tiwaz (Tuesday), Wotan (Wednesday), Thunor (Thursday), Frige (Friday) na Saturn (Saturday)

Sidhani kama kwa kutumia maneno hayo kunafanya na wewe uwe muumini wa hiyo Miungu ya kipagani.

Ni kwasababu kuna vitu vimepoteza ile religious context na kuwa utamaduni ambao watu wanautumia independently bila kuhusisha dini.
 
Huyo aliyeandika hivyo ni mwana liverpool, nafikiri labda alikuwa overwhelmed by emotions.

Huyo Arsenal angekutana na PSG hii tungeona mpira tofauti kabisa
Arsenal ni maji kupwa maji kujaa
 
Nilitamani liverpool asonge mbele japo si shabiki wao. PSG walikuwa na character nzuri, hata hivyo lazima uwe serious Ili kumfunga donnaruma Penalty, kwanza ni mrefu halafu ni mjanja sana kwenye kusoma, Penalties nyingi za chini anaweza kudaka.
Ukiona penalty zimefika golini yupo Allison
Afu wapigaji ni akina Nunez, ujue hamna kazi hapo.
 
Kaka yake The MoNA
 
Sema nilikua nacheka sana nikiingia humu nakutana na watu wanawaza treble πŸ˜„

"Treble incoming"
πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„ Kwa liverpool hii? Hebu tuweni serious basi.
Wewe kombe lako msimu huu ni kucheka Liverpool na kwenda Europa
 
Jao neves --vitinya----fabian

Kwa sasa duniani hakuna mido km.hiyo

Huyo jao neves ni homa ya dunia anakaba ad kivuli 🀣🀣

Kwaheri kuku broiler
Nye kuku broiler niliwaambia mtapigwa na paris mchakae haya kiko wapi


Mmefurushwa uefa

Ni vile tu arsenal hajitambui EPL ilikuwa yake msimu huu

Kuku broiler 🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
2021/2022 Liverpool mbovu kabsa hiyo. Liverpool tulikua 2017/2018-2018/2019 hii Misimu miwili tulisumbua sana Ulaya nzima ilikua inaogopa kukutana Liver ANFIELD hatari yake pale mbele Salah, Mane & Frimino nyuma yake unakuta winjaldim/Keita na Fabinho aisee.. moto wake siyo Poa.

2021/2022 tulikua tumeisha jichokea wachezaji wengi wakina Firmino wameisha kabsa wanasumbulia na majereha wakina Thiago hapo tulikua tunaonyesha ushindani lakini siyo kama msimu wa 2018.

Kwa saivi pale tunahitaji tu'reform kikosi kuanza kuwapunguza wazee kama saivi City anavyo fanya vinginevyo misimu miwili ijayo tuteseka sana.
 
Watoto wapi hao walicheza siku hiyo? Hiyo backline iliyocheza jana yote ilikuwepo siku hiyo... kuna nani ambaye hakuwepo tofauti na Dembele?
Backline tu ndiyo ilianza Jana lakini kwa viungo Kuna mabadiliko ukija kwenye ushambuliaji winga ile ya Napoli Kvaratskheli haikuwepo pamoja na dembele ambao kwa jana ndiyo walisumbua sana. Hao tu naamini wangetosha kuwapa arsenal kipigo kitakatifu.
 
Kwani nimeandika kuwa ni ajabu?

Punguza presha mkuu πŸ˜„πŸ˜„
Ulivyo andika inaonyesha ni kama unashangaa unaona ni ajabu ? Timu kufungwa na timu ya play-off? Vitu ambavyo havihusiani kabsa.

Ukicheka Usisahau kuangalia misimamo wa premier league
 
Umewangalia Intermilan? Jamaa Wana ushindani mzuri sana labda kwa Bayern ndiyo naona Hawa ushindani kwenye haya mashindano
 
Yaani Facts ya Arsenal kumfunga PSG unaita mawazo yangu? Aisee wewe ni mtu wa kwanza kumshuhudia hajui tofauti ya FACTS v/s OPINIONS
Tatizo ulifanya hitimisho kwa kutumia hoja dhaifu sanaπŸ˜€, baki na amani mkuu.
 
Yani mnataka mchukue UEFA kwa mpira wa ujanjaujanja wa kutegemea mshambuliwe mpige counter attack, mnaumwa nyie......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…