Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Dk Zaf yupo tayari kabisa kwa ajili ya Medical tests..huyu bwana akisimamia Medical ujue ni siku nzimaaaa hiyo!!!!!..ukipita hapo ujue huna tatizooooo!!!!
 
Attachments

  • 1408650288033.jpg
    1408650288033.jpg
    14 KB · Views: 100
While Everybody talking about his move to LFC, He just posted this on his instagram page!!!!!!

Hahhahahahah..MB utampenda TU..
 
Attachments

  • 1408650424557.jpg
    1408650424557.jpg
    74.9 KB · Views: 117
All in All..kwa upande mwingine Ayre has done a great Job katika usajili wa msimu huu..

Itakuwa ni fanikio la mwaka kama akifanikisha deal la MB kwa £16m na na kumuuza Borini kwa £14m...atakuwa ametisha sana!!!
 
Mad bastard.
 
Attachments

  • 1408650910189.jpg
    1408650910189.jpg
    77 KB · Views: 100
Msimu uliopita tulimsajili ASPAS watu wakalalamiiiiika..Leo hii tunamsajili Balotelli watu bado wanalalamika!!!!
 
This is what BR himself said about Balotelli, tena ni looooong time ago mwaka 2012 wakati bado ni manager wa Swansea!!!!

So *Balo haters* let BR do HIS JOB..
 
Attachments

  • 1408653057503.jpg
    1408653057503.jpg
    66.2 KB · Views: 108
Wakuu kwanza niwashukuru wadau wote kwa kutuhabarisha nadhani habari nyingi za chama langu uwa nazipata hapa,mkuu MosDef na Magnificient na wengine wote Tores tuko pamoja sana..Ynwa..wormly welcom bolotelli nimekua fun wa huyu jamaa miaka yote ya maisha yake ya mpira naona mungu amesikia sala Zangu ameamua kuleta karibu.
 
Last edited by a moderator:
All in All..kwa upande mwingine Ayre has done a great Job katika usajili wa msimu huu..

Itakuwa ni fanikio la mwaka kama akifanikisha deal la MB kwa £16m na na kumuuza Borini kwa £14m...atakuwa ametisha sana!!!

Borin anatuletea usiku tu!Kwa depth kama hii hata sub hawezi make!!

BR amuambie Borin ukiamua kubaki utacheza na mazoezi na team ya watoto kama Malouda au Borgade walivyo fanyiwa na Chelsea!

Borin has to go now na hela yake ikija ukilipa kwa Baloteli ni kama tu Baloteli kaja bure!Good business Ayre

Damn katoka guru Comoli kaja Ayre kama tu katoka Nyerere kaingia Jumbe!
 
It looks like LFC wanataka uhakika wa tabia ya MB kabla hawajamsajili moja kwa moja..Ayre na Raiola (MB agent) inasemekana watakutana tena kesho kumalizia the missing parts kabla ya kuseal the deal (nadhan ndo hizo *behaviour clauses*)

Pearce, Barret and Hunter are running with the same story..but Di Marzio anasema MB will fly Liverpool kesho kufanya medical..

So sijajua hapo inakaaje..but lets wait n' see!!!
 
Hivi jamani itakuwaje kama MB akizigomea hizo Behaviour clauses??? Na deal ikavunjika???

Hahahahah!!! itakuwa ni BOOOONGE ya BANTER!!!!!!!!!!

Nitaikimbia JF kwa mwezi mzimaaa, na hizi mbwembwe tulizozipiga humu leo!!!!!!!
 
ha ha ha ha ha ha!
 
Hatoki mtu hapa........MB ata agree with no doubt all clauses set by LFC simply bcoz is the one who admire to play for LFC although we are the one who sent the request.YNWA
 
Hahahahahahaha!! #Balo

Jamaa ni mvivu balaa, angeamua kufanya mazoezi kwa kiwango sawa na wachezaji wenzake angetisha mbaya.

Na kama angefanya mazoezi extra kama kina Ronaldo tusingeweza kumnunua huyu, hela yake ingekuwa ndefu balaa kwa kipaji chake na uwezo.
 
Hivi jamani itakuwaje kama MB akizigomea hizo Behaviour clauses??? Na deal ikavunjika???

Hahahahah!!! itakuwa ni BOOOONGE ya BANTER!!!!!!!!!!

Nitaikimbia JF kwa mwezi mzimaaa, na hizi mbwembwe tulizozipiga humu leo!!!!!!!

Kuna cku uliwa ckia mtu anambiwa acha tabia mbaya akasema aiachi?
 
Etoo na mb may negatively affect progress ya watoto wetu hasa sterling

You can say that again, mkuu.

Unajua kuna hii kitu inaitwa fanatism (unazi). Fanatism haipatani kabisa na self-criticism. Fanatism inajikita zaidi kuendekeza a "feel good" atmosphere hata kama atmosphere iko destined for doom.

Self-criticism is the most important recipe kwa mtu yeyote anayePANGA (siyo anayePENDA) kufanikiwa. Usipofuata falsafa ya self-criticism na ukishindwa unaishia kusema "ah, hata hivyo nimejitahidi" - and this is NOT the LFC way. LFC doesn't belong to the "nearly men" bracket. LFC belongs to "champions" fraternity.

Tunahitaji kuanza tena kuijaza ile trophy cabinet pale Anfield. And for me, Mario is not that missing piece in this 20-odd year puzzle!!

We have a fantastic coach in BR. For me, BR could be the Bob Paisley of this generation, but he shouldn't let himself bullied or pressured to fulfil political agendas.
 
Etoo kakabidhiwa mkataba wa 80,000/week with performance benefits.

Sasa sijui itakuwaje maana naona kama namba zitagombewa si mchezo.
 
Back
Top Bottom