Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Peter Schmeichel- Man UAs an LFC fan, who is your favorite player from;
Man City
Arsenal
Man Utd
Chelsea
Kwani humu kuna mamluki mkuu!PSG atapigwa ndani na nje.
Wanaliverpool halisi tushikamane.
Sisi wanaliverpool halisi tupo na Kocha wetu na wachezaji wetu wote popote.Kwani humu kuna mamluki mkuu!
Sawa!Sisi wanaliverpool halisi tupo na Kocha wetu na wachezaji wetu wote popote.
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Carra anatoa ushauri tu mkuu. Kuna kipindi Salah alikua akipata media attention basi ishu ni kutetea ugali wake wakati VVD yupo cool kabisa hana maneno mengi kuhusu mkataba wake, hapo ndio Carragher akamshauri amtazame VVD alivyo na utulivu.
hawa jamaa ni wabaguzi sana hasa carra,
Mkuu unatia aibu,Yaani LIVERPOOL ututishie PSG halafu ni UEFA champions league duh,Sio kwa ubaya ila kwa anachokifanya PSG kwasasa niseme tu kazi mnayo.
Mkuu unatia aibu,Yaani LIVERPOOL ututishie PSG halafu ni UEFA champions league duh,
Hiyo sio ligi 1.
PSG anakufa vizuri tu,kama hauna cha kuchangia bora ukanyamaza kimya tu.
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Carra anatoa ushauri tu mkuu. Kuna kipindi Salah alikua akipata media attention basi ishu ni kutetea ugali wake wakati VVD yupo cool kabisa hana maneno mengi kuhusu mkataba wake, hapo ndio Carragher akamshauri amtazame VVD alivyo na utulivu.
YNWA
Kaka nakubaliana na wewe angle nyingine kuhusu Jota ila kusema HAJAWAHI KUWA clinical finisher. Napingana na wewe with numbers sio mahaba.Jota sasahivi ndiyo haongelewi na hata baada ya game ya Aston Villa sikumbuki kuwa Jota aliwahi kuwa Topic hapa.
Msimu wa kwanza Jota kuja Liverpool ndiyo tulimuongelea Jota kuwa hata kule Wolves hakuwa Regular Stater kwasababu Jota ni most Inconsistency Player.
Jota anaweza kukufurahisha game 4 mfululizo then akapotea game 8 mfululizo na huo ndiyo uchezaji wake wala hauwezi kubadilika.
Ni kama aina fulani ya Gabriel Jesus alipokuwa Man City alikuwa anaweza kufunga goli 7 kwa michezo miwili tu (Mchezo mmoja Hat Trick na mchezo mmoja goli 4) then anapotea kwenye michezo 10 inayofuata Pep akaamua kumuuza.
Hivyo Inconsistency ni uchezaji wa Jota tokea yupo Wolves na hilo tunalijua ndiyomana hatumjadili.
So, haupo sahihi kusema kusema tumemuongelea Jota kwasababu ya game yake against Villa.
Jota ndani ya Liverpool hajawahi kuwa tegemeo tokea Klopp mpaka sasa Slot wala hajawahi kuwa World Class Striker wala hajawahi kuwa Clinical Finisher.
Ni average player tu ambaye kuna siku anaamka vizuri akafunga then anapotea.
Kaka nakubaliana na wewe angle nyingine kuhusu Jota ila kusema HAJAWAHI KUWA clinical finisher. Napingana na wewe with numbers sio mahaba.
Kaka clinical finisher anapimwa kwa shot and big chances conversion %.
I can say with all confidence Jota is our most clinical finisher kati ya Diaz, Gakpo, Nunez, Salah.
Jota ni second best clinical finisher premier league last season only Son ndiyo alimzidi na kwa LFC Jota is the first one.
Do not underestimate Diogoal Jota aisee, kale kajamaa conversion rate yake, sio ya kuchukulia poa.
Data nimezitoa Sky sports.
View attachment 3258168
Ready to be corrected.
YNWA'
🤣🤣🤣Nasikia kwenye Uzi wa Chelsea kabaki Lembu na Cash money tu, eti ni kweli?
Character ya huyu bwana mdogo ya ajabu sana. Sijawahi kumuona akikasirika.Naangalia game hapa Azam Sports HD 2 namuona Robert Firmino kapiga bonge moja la Assist kumbe bado wamo Yani 🔥🔥
Best of the best.Character ya huyu bwana mdogo ya ajabu sana. Sijawahi kumuona akikasirika.
Mara pap Salah akasaini mkataba mpya. Japo hesabu za mwaka wa fedha ulioisha klabu imetengeza hasara hivyo kwa akili ya FSG wapo wanachakata wapi wasuse wapi waweka ela yaani....Carragher ni Legend mtiifu kwa Liverpool mimi namkubali hapo tu ndiyomana yupo tayari kuilinda Brand ya Liverpool kwa gharama yoyote ile.
Wabrazil wengi, firmino, kaka, gaucho nk.Character ya huyu bwana mdogo ya ajabu sana. Sijawahi kumuona akikasirika.