Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Aisee Carragher apunguze mdomo anakoelekea siko kabisa

20250301_210628 (1).jpg
 
Aisee Carragher apunguze mdomo anakoelekea siko kabisa

View attachment 3255862
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Carra anatoa ushauri tu mkuu. Kuna kipindi Salah alikua akipata media attention basi ishu ni kutetea ugali wake wakati VVD yupo cool kabisa hana maneno mengi kuhusu mkataba wake, hapo ndio Carragher akamshauri amtazame VVD alivyo na utulivu.

YNWA
 
Mkuu unatia aibu,Yaani LIVERPOOL ututishie PSG halafu ni UEFA champions league duh,
Hiyo sio ligi 1.
PSG anakufa vizuri tu,kama hauna cha kuchangia bora ukanyamaza kimya tu.

PSG tulimfunga kwenye mashindano hayahaya akiwa ana kile kikosi chake kikubwa kabisa kuwahi kutokea cha kina Mbappe, Neymar etc.

Sasa hii PSG ya sasa iliyonyanyaswa na Arsenal ndiyo anakuja kututishia kweli?
 
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Carra anatoa ushauri tu mkuu. Kuna kipindi Salah alikua akipata media attention basi ishu ni kutetea ugali wake wakati VVD yupo cool kabisa hana maneno mengi kuhusu mkataba wake, hapo ndio Carragher akamshauri amtazame VVD alivyo na utulivu.

YNWA

Carragher ni Legend mtiifu kwa Liverpool mimi namkubali hapo tu ndiyomana yupo tayari kuilinda Brand ya Liverpool kwa gharama yoyote ile.
 
Jota sasahivi ndiyo haongelewi na hata baada ya game ya Aston Villa sikumbuki kuwa Jota aliwahi kuwa Topic hapa.

Msimu wa kwanza Jota kuja Liverpool ndiyo tulimuongelea Jota kuwa hata kule Wolves hakuwa Regular Stater kwasababu Jota ni most Inconsistency Player.

Jota anaweza kukufurahisha game 4 mfululizo then akapotea game 8 mfululizo na huo ndiyo uchezaji wake wala hauwezi kubadilika.

Ni kama aina fulani ya Gabriel Jesus alipokuwa Man City alikuwa anaweza kufunga goli 7 kwa michezo miwili tu (Mchezo mmoja Hat Trick na mchezo mmoja goli 4) then anapotea kwenye michezo 10 inayofuata Pep akaamua kumuuza.

Hivyo Inconsistency ni uchezaji wa Jota tokea yupo Wolves na hilo tunalijua ndiyomana hatumjadili.

So, haupo sahihi kusema kusema tumemuongelea Jota kwasababu ya game yake against Villa.

Jota ndani ya Liverpool hajawahi kuwa tegemeo tokea Klopp mpaka sasa Slot wala hajawahi kuwa World Class Striker wala hajawahi kuwa Clinical Finisher.

Ni average player tu ambaye kuna siku anaamka vizuri akafunga then anapotea.
Kaka nakubaliana na wewe angle nyingine kuhusu Jota ila kusema HAJAWAHI KUWA clinical finisher. Napingana na wewe with numbers sio mahaba.

Kaka clinical finisher anapimwa kwa shot and big chances conversion %.

I can say with all confidence Jota is our most clinical finisher kati ya Diaz, Gakpo, Nunez, Salah.

Jota ni second best clinical finisher premier league last season only Son ndiyo alimzidi na kwa LFC Jota is the first one.
Do not underestimate Diogoal Jota aisee, kale kajamaa conversion rate yake, sio ya kuchukulia poa.

Data nimezitoa Sky sports.

IMG_20250304_044711.jpg

Ready to be corrected.
YNWA'
 
View attachment 3258168

Ready to be corrected.
YNWA'

Hii "our most clinical finisher" ndiyo ninapojenga hoja yangu.

Yani unacompare na kina Diaz, Nunez na Gakpo ambao ambao hawafiki hata goli 15 kwa msimu?

Kama hoja ya ubora inapatikana kwa kulinganisha Mchezaji na wale walio na ndani ya Timu yake basi Ndani ya EPL tuna Clinical Finisher 20 kwasababu kwenye Timu 20 lazima kila Timu itakuwa na mchezaji kawazidi wenzake kwa numbers. Hata Manure wana Clinical Finisher.

Bro sometimes hizo stats zina mislead ndiyomana ukasema Jota ni Clinical Finisher kuliko Salah unajua kwanini?

Stats zinakusanya mamboengi zikianza na touch na chance available! Sasa Mchezaji kama ndani ya Dakika 90 ana Touch 45 tu na kupata big chances mbili tu akafunga goli 1 lazima atakuwa na rate conversion bora kuliko Mchezaji ambayo kwenye dakika 90 ana touches 75 na akapata big chances 3 akafunga 1.

Sasa huyu ndiyo Salah huwa ana touches nyingi kuliko Jota ndiyomana ana Assist nyingi.

Hivyo tatizo linaanza hapa Mchezaji kuwa kila tukishambulia anakuwa out of position ndiyomana anapata chances za kufunga kidogo then akifunga anaonekana ana best rate of conversation.

Anyway kwa kuwa umeamua kumlinganisha na kina NUNEZ, KAGPO na DIAZ basi sikupingi yeye ni bora kuliko hao kwasababu hao hawajawahi kuwa wafungaji bora yani ni kama vile Kwenye kundi la Vipofu mwenye Makengeza ni Mfalme.
 
Carragher ni Legend mtiifu kwa Liverpool mimi namkubali hapo tu ndiyomana yupo tayari kuilinda Brand ya Liverpool kwa gharama yoyote ile.
Mara pap Salah akasaini mkataba mpya. Japo hesabu za mwaka wa fedha ulioisha klabu imetengeza hasara hivyo kwa akili ya FSG wapo wanachakata wapi wasuse wapi waweka ela yaani....
Salah magoli yake pekee yametupa karibu asilimia 33 ya pointi hivyo sio jambo jepesi kuweka mpango wa kutompa mkataba mpya ukichangany hapo na ma assist yake utaona bila Salah tungekua nje ya mbio za ubingwa..
Carragher namwelewa sana lakin nae amwelewe Salah hajaomba mkataba mrefu ni miaka 2 tu na mshahara unaoedana na kazi yake. Kwangu anastahili kupewa hicho anachokitaka. He has earned that honor by all metrics...mapema wamalizane nae maana akishinda EPL na UCL itakua habari nyingine...

YNWA
 
Back
Top Bottom