Feisal2020
JF-Expert Member
- Nov 15, 2018
- 1,113
- 2,656
😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
PSG wamecheza vizuri hata nyinyi mmecheza vizuri sana ni basi tu hamkuwa na bahatiTumeng'atwa na Mbuzi
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Nilijua tu hili lidude likisimama tu pale golini linatisha, halafu Nunez kwa kipindi hiki sio wa kumuachia kupiga penalty kabisa, ni kumtafutia lawama tu za bure na kumchonganisha na mashabiki.Kwa huyu kipa wa Psg inabidi hizi dakika 15 zilizosalia Liverpool wafanye juu chini wapate goli, la sivyo hili kipa la mikono 100 linaweza likawachomolea betri kwenye penalties.
Ndg ulikuwa unaangalia mpira , Liverpool kaonyesha nini zaidi ya kupaki bus vile vitoto vya Paris sio poa walikuwa na KAZI ya kurudi nyuma na kuzuia mechi zote mbili.Poleni sana wanangu ila mpira leo mmeuonesha.
Sina hakika kama huko mbeleni kutakuwa na mechi tamu kuizidi hii.
Sometimes bahati nazo zina play role yake.
Kabisa Mkuu.Chama limepambana nina imani England timu yeyote isingefika penalt ingekuwa kibudu tumebaki tupambanie makombe mawili bahati haikuwa upande wetu...tukutane tarhe 16 wembley fainal..
YNWA!
Halihitaji elimu ya chuo kikuu kulitambua hilo!Kabisa Mkuu.
Mi ni Nyumbu ila leo nimewapa saluti.
Psg akicheza hivi mechi zote Uefa yakePSG wamecheza vizuri hata nyinyi mmecheza vizuri sana ni basi tu hamkuwa na bahati
Hao sio wachezaji ni matapeliKama kuna wachezaji wa kufukuzwa mwisho mwa msimu hawa wawe wa kwanzaView attachment 3267322
Hakuna timu ENGLAND ingehimili moto wa PSG leo. Hakika mmepambanaChama limepambana nina imani England timu yeyote isingefika penalt ingekuwa kibudu tumebaki tupambanie makombe mawili bahati haikuwa upande wetu...tukutane tarhe 16 wembley fainal..
YNWA!
Na hata saizi namalizia kuangalia hizi shamla shamla za mwishoni baada ya mechiNdg ulikuwa unaangalia mpira , Liverpool kaonyesha nini zaidi ya kupaki bus vile vitoto vya Paris sio poa walikuwa na KAZI ya kurudi nyuma na kuzuia mechi zote mbili.
Nyie mlishika ya ngapi?Hivi ilikuwaje mkashika nafasi ya kwanza?
Kwan kizangi mlichoonyesha hamkustahili kuendelea na mashindano