Mtu Alie Nyikani
JF-Expert Member
- Nov 9, 2022
- 949
- 2,038
Kuna maajabu hapo? Au ugeni wa kushabikia mpira unakusumbua?Kinara wa ligi anakuja kuwa dominated na mcheza play off ๐๐๐๐
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna maajabu hapo? Au ugeni wa kushabikia mpira unakusumbua?Kinara wa ligi anakuja kuwa dominated na mcheza play off ๐๐๐๐
๐ค ๐ค ๐ค ๐ค ๐ค ๐ค ๐ค. Salute Enrique amejenga a hardworking disciplined teamHuyo huyo naamini l eo hii hajiskii kuongelea mpira, hivyo basi pengine anaweza kutembelea hata nyuzi za kula tunda kimasihara hili kuondoa stress.
Liverpool kwenye Keague ni wangapi na timu yako niya ngapi?Liverkuku akicheza mashabiki wake duniani kote wanatapika na kuharisha kama kuku mwenye kideri.
Enquire ni elite gaffer, Slot ni amateur soon to be elite.slot kafundishwa mpira na Enrique, yaani hapa ali kuwa ana subiri bahati tu.
Naungana nawe mkuu kwa hili la homa ya vipindi lakini..je kwa huu mchango wake mdogo hatumpi haki msimu wa ligi kuu pekee bila kuhusisha mazhindano mengine 20/21 mechi 19 goli 9...msimu wa 21/22 mechi 35 goli 15..msimu 22/23 mechi 22 goli 7...msimu 23/24 mechi 21 goli 10..msimu 24/25 goli 5...bado mechi zinaendelea je bado hapo hana mchango na hiyo gari gereji ...gari barabarani!Mimi simlaumu Jota kwa lolote katika mchezo wa jana ila niseme tu ukweli HAKUNA MSIMU HATA MMOJA AMBAO JOTA KAIBEBA LIVERPOOL.
Huo msimu haupo! Jota ni homa za vipindi tu kuna mechi 4 au 5 anaibuka halafu anapotea mechi 15.
Ingawa ukisema INCONSISTENCY ya Jota hapa tunaletewa useless Takwimu eti tunaambiwa Jota ni Clinical Finisher! Labda awe Clinical Medicine ila sio kwenye mpira.
Huyu jota ni striker nzuri, natamani ange kuwa hii arsenal lazima ange kuwa vizuri maana no presha.Naungana nawe mkuu kwa hili la homa ya vipindi lakini..je kwa huu mchango wake mdogo hatumpi haki msimu wa ligi kuu pekee bila kuhusisha mazhindano mengine 20/21 mechi 19 goli 9...msimu wa 21/22 mechi 35 goli 15..msimu 22/23 mechi 22 goli 7...msimu 23/24 mechi 21 goli 10..msimu 24/25 goli 5...bado mechi zinaendelea je bado hapo hana mchango na hiyo gari gereji ...gari barabarani!
Liverpool ya kuchukua treble ilikuwa ni hii..๐Hiki kigenge cha matapeli Kilikuwa kinawaza treble.
Yani hata robo fainali haujavuka unawaza treble!
It was long while i hadn't seen an opponent team comfortably silencing the anfield crowd in a very crucial game.๐ค ๐ค ๐ค ๐ค ๐ค ๐ค ๐ค. Salute Enrique amejenga a hardworking disciplined team
Best super game of the season pale Anfield.
YNWA
Majeruhi huwa yana mtoa mchezoni.Huyu jota ni striker nzuri, natamani ange kuwa hii arsenal lazima ange kuwa vizuri maana no presha.
Watoto wapi hao walicheza siku hiyo? Hiyo backline iliyocheza jana yote ilikuwepo siku hiyo... kuna nani ambaye hakuwepo tofauti na Dembele?Kwa kikosi gani alicho kua nacho PSG, siku hiyo mlianzishiwa watoto ndiyo maana mlijipigia tu goli 2 lakini round hii endapo mtakutana nao mtakulangoli za kutosha
Kwani nimeandika kuwa ni ajabu?Kuna maajabu hapo? Au ugeni wa kushabikia mpira unakusumbua?
At least sisi Liverpool Fc Mwisho wa msimu we will not go TROPHYLESS kama hiyo team unayosema ilimfunga PSG comfortable.Tusisahau Arsenal alimfunga PSG tena kimpira na sio kibahati kama tulivyoshinda sisi pale Paris.
Hivyo Mshabiki wa Liverpool hana uhalali wowote wa kumcheka Arsenal msimu huu unless awe dumbass.
Barca ni timu yangu ya pili kushabikia ila upande waliopo Uefa ni dhaifu sana, labda itokee wakutane na Real madrid fainali ndo tutabeba ila tofaut na hapo siioni ikibeba kombe,Unawajua madogo wa La Masia?
don't reply
Uki sahihi mkuuArgentina WANAMTAMBUA. SEMA SIKU HIYO HAIKUWA BAHATI YAO TU AU NADANGANYA Greatest Of All Time?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Sema Captain hii game mlikua mnaimaliza mapema sana zile dakika 10 za mwanzo kabla Psg hawajapata goli lao dakika ya 12.[emoji851] [emoji851] [emoji851] [emoji851] [emoji851] [emoji851] [emoji851]. Salute Enrique amejenga a hardworking disciplined team
Best super game of the season pale Anfield.
YNWA
Hawa jamaa walianza kuchangamka kuanzia ile game ya city.Psg akicheza hivi mechi zote Uefa yake
Hata mechi yenu na Chelsea Msimu huu mlioshinda 2-1 pale anfield ..Chelsea waliwaoutplay ila sema tu shida ya chelsea errors nyingi kwenye defense yao....hata upara slot mwenyewe alikiriLiverpool ya kuchukua treble ilikuwa ni hii..๐View attachment 3267535
Hii ingeweza kuchukua hata makombe yote manne, sema walikuwa wana bahati mbaya ya kukutana real madrid baba mwenye nyumba wa UCL, na pia huku EPL walikuwa wana compete na man city..
...kwanza hakuna timu ambayo iliweza kuwa outplay anfield kama alichokifanya PSG jana... nakumbuka hata kwenye EPL baada ya kudroo na chelsea mwezi january wakaja kudondosha point dhidi ya city mwezi April kwenye mechi ambayo iliamua hatima ya ubingwa, kwenye mzunguko wa pili hawakupoteza mechi.
Sidhani kama Liverpool watakuja kupata timu yenye ubora ule 21/22 kwa hii miaka ya karibuni hapa... hii ya sasa ni merely above average wala hata sio tishio, angali hata jinsi walivyoteska dhidi ya United hii mbovu, angalia wakikutana na timu imara kama Nottingham wanavyohaha... hii hata Arsenal hawawezi kutufunga si tuko hapa.
Kilichofanya hii liverpool iwe hapo ilipo na kuwadanganya pundits wengi kuwa ndio timu bora kwa sasa ni inconsistency ya Arsenal ambayo imetokana na game approaches mbovu za Arteta, ila kimsingi Liverpool alipaswa kuwa nafasi ya pili akitofautiana kidogo na Arsenal.... nimemaliza.