Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Huyo huyo naamini l eo hii hajiskii kuongelea mpira, hivyo basi pengine anaweza kutembelea hata nyuzi za kula tunda kimasihara hili kuondoa stress.
๐Ÿค“ ๐Ÿค“ ๐Ÿค“ ๐Ÿค“ ๐Ÿค“ ๐Ÿค“ ๐Ÿค“. Salute Enrique amejenga a hardworking disciplined team
Best super game of the season pale Anfield.

YNWA
 
Mwanzo wa msimu tulikuwa vizuri sana ila competition zilivyo ongezeka zimefanya wachezaji wachoke ๐Ÿ˜ญ, PSG ingekutana na ile Liverpool ilivyo ifunga man city goli 2 mpaka city akaanza kupga long ball tungeongea mengine.
 
Mimi simlaumu Jota kwa lolote katika mchezo wa jana ila niseme tu ukweli HAKUNA MSIMU HATA MMOJA AMBAO JOTA KAIBEBA LIVERPOOL.
Huo msimu haupo! Jota ni homa za vipindi tu kuna mechi 4 au 5 anaibuka halafu anapotea mechi 15.
Ingawa ukisema INCONSISTENCY ya Jota hapa tunaletewa useless Takwimu eti tunaambiwa Jota ni Clinical Finisher! Labda awe Clinical Medicine ila sio kwenye mpira.
Naungana nawe mkuu kwa hili la homa ya vipindi lakini..je kwa huu mchango wake mdogo hatumpi haki msimu wa ligi kuu pekee bila kuhusisha mazhindano mengine 20/21 mechi 19 goli 9...msimu wa 21/22 mechi 35 goli 15..msimu 22/23 mechi 22 goli 7...msimu 23/24 mechi 21 goli 10..msimu 24/25 goli 5...bado mechi zinaendelea je bado hapo hana mchango na hiyo gari gereji ...gari barabarani!
 
Huyu jota ni striker nzuri, natamani ange kuwa hii arsenal lazima ange kuwa vizuri maana no presha.
 
Hiki kigenge cha matapeli Kilikuwa kinawaza treble.

Yani hata robo fainali haujavuka unawaza treble!
Liverpool ya kuchukua treble ilikuwa ni hii..๐Ÿ‘‡
DB2560-688-1.jpg

Hii ingeweza kuchukua hata makombe yote manne, sema walikuwa wana bahati mbaya ya kukutana real madrid baba mwenye nyumba wa UCL, na pia huku EPL walikuwa wana compete na man city..

...kwanza hakuna timu ambayo iliweza kuwa outplay anfield kama alichokifanya PSG jana... nakumbuka hata kwenye EPL baada ya kudroo na chelsea mwezi january wakaja kudondosha point dhidi ya city mwezi April kwenye mechi ambayo iliamua hatima ya ubingwa, kwenye mzunguko wa pili hawakupoteza mechi.

Sidhani kama Liverpool watakuja kupata timu yenye ubora ule 21/22 kwa hii miaka ya karibuni hapa... hii ya sasa ni merely above average wala hata sio tishio, angali hata jinsi walivyoteska dhidi ya United hii mbovu, angalia wakikutana na timu imara kama Nottingham wanavyohaha... hii hata Arsenal hawawezi kutufunga si tuko hapa.

Kilichofanya hii liverpool iwe hapo ilipo na kuwadanganya pundits wengi kuwa ndio timu bora kwa sasa ni inconsistency ya Arsenal ambayo imetokana na game approaches mbovu za Arteta, ila kimsingi Liverpool alipaswa kuwa nafasi ya pili akitofautiana kidogo na Arsenal.... nimemaliza.
 
๐Ÿค“ ๐Ÿค“ ๐Ÿค“ ๐Ÿค“ ๐Ÿค“ ๐Ÿค“ ๐Ÿค“. Salute Enrique amejenga a hardworking disciplined team
Best super game of the season pale Anfield.

YNWA
It was long while i hadn't seen an opponent team comfortably silencing the anfield crowd in a very crucial game.

Lakini hii psg kwenye hatua za awali alizingua sana, alikuja kufufukia kwenye game dhidi ya city...!!
 
Kwa kikosi gani alicho kua nacho PSG, siku hiyo mlianzishiwa watoto ndiyo maana mlijipigia tu goli 2 lakini round hii endapo mtakutana nao mtakulangoli za kutosha
Watoto wapi hao walicheza siku hiyo? Hiyo backline iliyocheza jana yote ilikuwepo siku hiyo... kuna nani ambaye hakuwepo tofauti na Dembele?
 
Tusisahau Arsenal alimfunga PSG tena kimpira na sio kibahati kama tulivyoshinda sisi pale Paris.

Hivyo Mshabiki wa Liverpool hana uhalali wowote wa kumcheka Arsenal msimu huu unless awe dumbass.
At least sisi Liverpool Fc Mwisho wa msimu we will not go TROPHYLESS kama hiyo team unayosema ilimfunga PSG comfortable.
 
Unawajua madogo wa La Masia?

don't reply
Barca ni timu yangu ya pili kushabikia ila upande waliopo Uefa ni dhaifu sana, labda itokee wakutane na Real madrid fainali ndo tutabeba ila tofaut na hapo siioni ikibeba kombe,

We mwenyewe fikiria 16 bora kacheza na Benfica, Robo fainali anacheza na mshindi wa leo tufanye apite dortmund...bado hizo timu sio giants hatumii nguvu nyingi kuzitoa, upande uliopo utamlemaza,

Psg kaanza kuexperience game ngumu tangu 16 bora wakat huo game ngumu ya Barca inaweza kuwa labda ndo ya fainali maana hata Semi final akikutana na Bayern au Inter wote hao hawawezi kumpa ushindani mkubwa kiivyo Barcelona.
 
[emoji851] [emoji851] [emoji851] [emoji851] [emoji851] [emoji851] [emoji851]. Salute Enrique amejenga a hardworking disciplined team
Best super game of the season pale Anfield.

YNWA
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Sema Captain hii game mlikua mnaimaliza mapema sana zile dakika 10 za mwanzo kabla Psg hawajapata goli lao dakika ya 12.
Kuna nafasi kama 3 hivi za wazi mlizipata halafu kila Salah wakashindwa kuzitumia, yaani baada ya zile kosakosa za dakika 10 za mwanzo nilihisi kabisa hii game leo itaisha kwa uchungu mkubwa upande wa mashabiki wa Liverpool.
Ila hata hivyo hongereni sana mkuu, tokea msimu huu umeanza kwa upande wangu jana ndio nimeshuhudia mechi bora kabisa kwa msimu huu wa 2024/2025.
 
Liverpool ya kuchukua treble ilikuwa ni hii..๐Ÿ‘‡View attachment 3267535

Hii ingeweza kuchukua hata makombe yote manne, sema walikuwa wana bahati mbaya ya kukutana real madrid baba mwenye nyumba wa UCL, na pia huku EPL walikuwa wana compete na man city..

...kwanza hakuna timu ambayo iliweza kuwa outplay anfield kama alichokifanya PSG jana... nakumbuka hata kwenye EPL baada ya kudroo na chelsea mwezi january wakaja kudondosha point dhidi ya city mwezi April kwenye mechi ambayo iliamua hatima ya ubingwa, kwenye mzunguko wa pili hawakupoteza mechi.

Sidhani kama Liverpool watakuja kupata timu yenye ubora ule 21/22 kwa hii miaka ya karibuni hapa... hii ya sasa ni merely above average wala hata sio tishio, angali hata jinsi walivyoteska dhidi ya United hii mbovu, angalia wakikutana na timu imara kama Nottingham wanavyohaha... hii hata Arsenal hawawezi kutufunga si tuko hapa.

Kilichofanya hii liverpool iwe hapo ilipo na kuwadanganya pundits wengi kuwa ndio timu bora kwa sasa ni inconsistency ya Arsenal ambayo imetokana na game approaches mbovu za Arteta, ila kimsingi Liverpool alipaswa kuwa nafasi ya pili akitofautiana kidogo na Arsenal.... nimemaliza.
Hata mechi yenu na Chelsea Msimu huu mlioshinda 2-1 pale anfield ..Chelsea waliwaoutplay ila sema tu shida ya chelsea errors nyingi kwenye defense yao....hata upara slot mwenyewe alikiri
 
Back
Top Bottom