Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
True...this guy needs a speech writer.
..yes, he is capable of writing his own speeches, but to get to the next level he needs a team of good speech writers.
..he can not continue to be jeshi la mtu mmoja.
Sijui wamepigwa biti au wanaogopa mambo ya guilt by association..Siyo Mwananchi tu ni live streaming nyingi. Ni udikteta wa aina yake Tanzania
True.
Lakini kwa kweli nimeipenda hii hotuba yake, nikiweka utani pembeni.
Kazungumzia mambo ya msingi sana ambayo kwa kweli nakubaliana nayo 99%.
Sijui wamepigwa biti au wanaogopa mambo ya guilt by association..
Hoja nzuri...I get it.
..but to reach his full potential ni lazima awe na very capable advisors ktk fani mbalimbali ikiwemo hotuba.
..wanasiasa wengi wa bongo hawajiandai kutoa hotuba, au wanapokwenda kwenye press conference.
..hata Mwalimu Nyerere, Ben Mkapa, John Kennedy, Barack Obama, walikuwa na waandishi wa hotuba, and they made them look good/great yeye ni nani asiwe nao.
Utani pembeni, heshima kwa Tundu Lissu!
He has guts!
Magufuli is getting ethered here [with valid points].
Hahahahaaa.
Na hata hii link yako mods wameshafanya yao!Naangalia hapa acceptance speech ya Tundu Lissu.
Hoja zake nyingi, hususan zile za nguvu na uwezo wa rais, nazikubali.
Cha kushangaza ni kwamba, kila akianza kumrushia vijembe na madongo Rais Magufuli, sauti inapotea kwa muda halafu baadaye kidogo inarudi.
Anaendelea tena kuongea, lakini akianza tu kumchana Magufuli, sauti inapotea!!
Ni mimi tu ndo inanitokea? Au na wengine mmeliona hilo?
Utani pembeni, heshima kwa Tundu Lissu!
He has guts!
Magufuli is getting ethered here [with valid points].
Hahahahaaa.
Ukiwekaga ukabila na ukanda pembeni huwa una akili sana.
Taratibu kila mtu ata muelewa na kumuunga mkono Lissu.