Naunga mkono hojaKwako mwenye akili ni yule anayefanana mawazo na wewe!
Aliye na mawazo tofauti hana na hawezi kuwa na akili.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naunga mkono hojaKwako mwenye akili ni yule anayefanana mawazo na wewe!
Aliye na mawazo tofauti hana na hawezi kuwa na akili.
Utani pembeni, heshima kwa Tundu Lissu!
He has guts!
Magufuli is getting ethered here [with valid points].
Hahahahaaa.
Mpaka akili zitawakaa sawa tu mwaka huu!True.
Lakini kwa kweli nimeipenda hii hotuba yake, nikiweka utani pembeni.
Kazungumzia mambo ya msingi sana ambayo kwa kweli nakubaliana nayo 99% na ambayo sijawahi kumsikia kiongozi yeyote mkuu wa CCM akiyazungumzia.
Anaganga njaa kwenye Korido za Lumumba anaburuzika tu kutoka upande huu mpaka upande ule, lengo lake ni kuwaweka sawa wanekiNje ya mada,hv mkuu P yuko wap?
Wow!Media zote zimefanya hivyo tena mwanahalisi wao wamezima matangazo kabisa,watu wamekuwa waoga kuliko hata anayezungumza
Ulio wataja ni kweli walikuwa na waandishi wa hotuba,japo umemsahau J.K, hata huyu pia anaandikiwa lakini huwa anavurunda mara nyingi,kwa mfano "Itategemea nimeamkaje siku hiyo" [emoji2][emoji2]..I get it.
..but to reach his full potential ni lazima awe na very capable advisors ktk fani mbalimbali ikiwemo hotuba.
..wanasiasa wengi wa bongo hawajiandai kutoa hotuba, au wanapokwenda kwenye press conference.
..hata Mwalimu Nyerere, Ben Mkapa, John Kennedy, Barack Obama, walikuwa na waandishi wa hotuba, and they made them look good/great yeye ni nani asiwe nao.
Naangalia hapa acceptance speech ya Tundu Lissu.
Hoja zake nyingi, hususan zile za nguvu na uwezo wa rais, nazikubali.
Cha kushangaza ni kwamba, kila akianza kumrushia vijembe na madongo Rais Magufuli, sauti inapotea kwa muda halafu baadaye kidogo inarudi.
Anaendelea tena kuongea, lakini akianza tu kumchana Magufuli, sauti inapotea!!
Ni mimi tu ndo inanitokea? Au na wengine mmeliona hilo?
Povu la nini, Kwani Lissu keshakuwa Rais?..I get it.

CHADEMA wanapwaya sana kwenye mambo ambayo yanapaswa kuwa ni ya msingi kabisa.Ndivyo ilivyokuwa, kilichoniudhi Chadema Media nao walishindwa kurusha hotuba ya Lissu
Sasa wanaogopa nini hao watu wa media?Mkuu unauliza ukinyanyua mkia wa ng'ombe unakutana na nini? Jibu mbona liko wazi? Uoga umetamalaki sana kwa sasa hadi kwenye vyombo vya habari. Wanaogopa faini za TCRA na hata kufungiwa. Huyu bwana ndo ametufikisha hapa. Je, is this the cost we have to pay for SGR, Stigler's gorge, Ubungo & Tazar interchanges,daraja la Kigamboni, etc? Is it worthy it? Kwa nini hata baadhi ya watu ambao tayari wana exposure kubwa hawalioni hili? Ni sababu ya 'confounding factors' zinazo cloud their judgement?
Sijui.
Nyani Ngabu
Aisee, haya ndo maajabuSasa wanaogopa nini hao watu wa media?
Kwani wao ndo walikuwa wanatoa hotuba?
Wameshakula faini za kutosha mkuu za TCRA, na media zingine hata kufungiwa for very senseless accusations. Sasa wanalinda mkate wao wasije fungiwa watoto wao wakafa njaa.Sasa wanaogopa nini hao watu wa media?
Kwani wao ndo walikuwa wanatoa hotuba?
Dah!Wameshakula faini za kutosha mkuu za TCRA, na media zingine hata kufungiwa for very senseless accusations. Sasa wanalinda mkate wao wasije fungiwa watoto wao wakafa njaa.
Tumefika hapo. Vyombo vya habari bongo vinafanya kazi kwa mitego sana, hasa awamu hii.
Maneno ya Lissu yamemkuna na kumnyevua mpaka mishipa yake ya rupu imemcheza! maana jamaa ana chuki na Lissu hatari, imebidi amkubali tu "kuwa ni yeye"Ukiwekaga ukabila na ukanda pembeni huwa una akili sana.
Taratibu kila mtu ata muelewa na kumuunga mkono Lissu.
Hotuba mbovu ambayo haiwezi kumpa kura. Lissu anahitaji team nzuri ya kumshauri na ikibidi akae kambini muweze kumtengeneza asifikiri yupo uwanja wa mahakama.Sijui ni vitisho au ndio kujipendekeza?
All in all,hotuba hii teyari ni anguko la Magu na CCM.
Hayo yoote uliyoshauri yatafanya tume kutenda haki na kutangaza idadi ya kweli ya kura atakazopata Lissu?Hotuba mbovu ambayo haiwezi kumpa kura. Lissu anahitaji team nzuri ya kumshauri na ikibidi akae kambini muweze kumtengeneza asifikiri yupo uwanja wa mahakama.
Ukosoaji wake kwa Magufuli ukivaa viatu vya wananchi wa kawaida watapata picha za porojo za wapinzani dhana ambayo imeshakomaa vichwani kwao. Lissu anaimba hadithi zile zile ambazo haziwezi kuleta mabadiliko. Mbaya zaidi miaka hii mitano chama hakikuwa na ajenda ya kueleweka.
Kuna kazi kubwa ya kujenga ajenda na kuziwakilisha bila mihemko na matusi bali hekima na busara kama mtu anayeomba ridhaa ya Urais. Azungumze kama Rais na si mwanaharakati, asichanganywe na kushangiliwa na "masela".