sheiza
JF-Expert Member
- Sep 29, 2010
- 7,640
- 11,680
Sina shakaTukutane October 2020
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sina shakaTukutane October 2020
Unamzungumzia yupi?..this guy needs a speech writer.
..yes, he is capable of writing his own speeches, but to get to the next level he needs a team of good speech writers.
..he can not continue to be jeshi la mtu mmoja.
Lissu anakwenda kuubadili upepo wa kisaisa katika nchi yetu kuanzia 8/ 8 siku ya kuchukua form..Utani pembeni, heshima kwa Tundu Lissu!
He has guts!
Magufuli is getting ethered here [with valid points].
Hahahahaaa.
Ushauri huu utamfaa sana Dr. Slaa maana atagombea kupitia TADEA.Hotuba mbovu ambayo haiwezi kumpa kura. Lissu anahitaji team nzuri ya kumshauri na ikibidi akae kambini muweze kumtengeneza asifikiri yupo uwanja wa mahakama.
Ukosoaji wake kwa Magufuli ukivaa viatu vya wananchi wa kawaida watapata picha za porojo za wapinzani dhana ambayo imeshakomaa vichwani kwao. Lissu anaimba hadithi zile zile ambazo haziwezi kuleta mabadiliko. Mbaya zaidi miaka hii mitano chama hakikuwa na ajenda ya kueleweka.
Kuna kazi kubwa ya kujenga ajenda na kuziwakilisha bila mihemko na matusi bali hekima na busara kama mtu anayeomba ridhaa ya Urais. Azungumze kama Rais na si mwanaharakati, asichanganywe na kushangiliwa na "masela".
Sasa wanaogopa nini hao watu wa media?
Kwani wao ndo walikuwa wanatoa hotuba?
Hotuba mbovu ambayo haiwezi kumpa kura. Lissu anahitaji team nzuri ya kumshauri na ikibidi akae kambini muweze kumtengeneza asifikiri yupo uwanja wa mahakama.
Ukosoaji wake kwa Magufuli ukivaa viatu vya wananchi wa kawaida watapata picha za porojo za wapinzani dhana ambayo imeshakomaa vichwani kwao. Lissu anaimba hadithi zile zile ambazo haziwezi kuleta mabadiliko. Mbaya zaidi miaka hii mitano chama hakikuwa na ajenda ya kueleweka.
Kuna kazi kubwa ya kujenga ajenda na kuziwakilisha bila mihemko na matusi bali hekima na busara kama mtu anayeomba ridhaa ya Urais. Azungumze kama Rais na si mwanaharakati, asichanganywe na kushangiliwa na "masela".
Leo utakula likes za Wachaga hadi ushangae, ...
Unamzungumzia yupi?..this guy needs a speech writer.
..yes, he is capable of writing his own speeches, but to get to the next level he needs a team of good speech writers.
..he can not continue to be jeshi la mtu mmoja.
Bravo my friend.Hayo yoote uliyoshauri yatafanya tume kutenda haki na kutangaza idadi ya kweli ya kura atakazopata Lissu?

Kawaida vichwan kunakua na ubongo (=akili). Ila I think other heads (brain) are simply vacant.Watu wengi hamumjui magufuli kumbe.. magufuli sio mtu wa kuongea ongea na kujibizana ndio maana hana muda wa kupoteza.
Ukijaa kwenye 18 zake anakuvunja tu kisha anaendelea na kazi. Mtakaopoteza muda ni nyinyi na lissu wenu ambao muda mwingi mtajikuta mko kwenye mikono ya dola na mahakamani. Kama mnaingia kwenye kampeni ili kugoambana na magufuli basi mjipange pia kulialia.
Mataifa ya nje yenyewe yamemjua magufuli ni mtu wa aina gani. Nyie hadi leo mmeshindwa kung' amua na muda unawaacha.
Narudia tena magufuli hatoongea ye anapiga kazi ila mamalaka zake zitaongea. Tuone nani atapoteza muda.
Ni vizuri kama vyama vitakuwa na unedited versions na kuzirusha kwenye social media platforms zao.Hata leo ITV na redio one wamemkatia speech.
Aibu sana matendo ya vyombo vya habari hapa nchini
The New York Times wamemnanga upya jana.Utani pembeni, heshima kwa Tundu Lissu!
He has guts!
Magufuli is getting ethered here [with valid points].
Hahahahaaa.
Kwenye Corona bado sijaona kama Tanzania ni tatizo.The New York Times wamemnanga upya jana.
Tanzania’s President Says Country Is Virus Free. Others Warn of Disaster
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] kalaghabahoWako Cautious na Speech za Kihuni
Na upuuzi wako uko wapi??!Usipate tabu, upuuzi wa Lissu upo pia hapa. Rais hajaacha urais, kutatua changamoto za wananchi wake ni moja ya majukumu yake.