Livestream ya hotuba ya Lissu kwenye Digital Mwananchi iko censored?


Hao uliowataja wote tayari walikuwa ni marais tusubiri akiwa rais
 
What is the point censoring a diss track. fvck Vevo
 
Anakumbuka zile shaba16
 
Usipate tabu, upuuzi wa Lissu upo pia hapa. Rais hajaacha urais, kutatua changamoto za wananchi wake ni moja ya majukumu yake.

 
Hayo yoote uliyoshauri yatafanya tume kutenda haki na kutangaza idadi ya kweli ya kura atakazopata Lissu?
Sasa kama mnajua hilo mnaingia kwenye uchaguzi kufanya nini?
 
Wanaogopa kufungiwa kama Tanzania Daima, mtu pekee hapa Tz anayeweza kumpa makavu Magufuli bila ya kumuogopa ni Lissu tu
 
Acha ku
Usipate tabu, upuuzi wa Lissu upo pia hapa. Rais hajaacha urais, kutatua changamoto za wananchi wake ni moja ya majukumu yake.

Acha kujipendejeza,miaka yote mitano, changamoto ndiyo kaziona leo?

Au kibiti ndiyo kijiji kimeanzishwa jana?

Tumia akili yako mwenyewe ili familia na wazazi wako ,waione faida ya uzazi wao.
 
Utani pembeni, heshima kwa Tundu Lissu!

He has guts!

Magufuli is getting ethered here [with valid points].

Hahahahaaa.
Sikiliza Nyani, hapa Tz watu wote tunamuogopa Jiwe, tunamsema tukiwa mafichoni, si umeona kina Kinana, Mzee Makamba, Nape wamepiga magoti

Lissu ndio mtu pekee asiyemuogopa jiwe, Lissu huyu kawa jasiri kuliko Lissu yule aliyepigwa risasi 38

Mungu aliyemuokoa Sept-11 ndio huyo huyo atakayemlinda dhidi ya watu waoga, waovu, dhaifu, kwao hoja ujibiwa kwa risasi
 
Jiandaeni tu kumkabidhi ikulu za magogoni na chamwino shujaa Tundu Antipas Lissu. Hammuwezi kwa hoja na wala hammuwezi kiakili na Ndo mana mliishia kumfungulia makesi uchwara na mliposhindwa mkaamua kumpiga risasi kabisa.


LISSU HABARI NYINGINE KIJANA
 
Utani pembeni, heshima kwa Tundu Lissu!

He has guts!

Magufuli is getting ethered here [with valid points].

Hahahahaaa.
Watu wengi hamumjui magufuli kumbe.. magufuli sio mtu wa kuongea ongea na kujibizana ndio maana hana muda wa kupoteza.

Ukijaa kwenye 18 zake anakuvunja tu kisha anaendelea na kazi. Mtakaopoteza muda ni nyinyi na lissu wenu ambao muda mwingi mtajikuta mko kwenye mikono ya dola na mahakamani. Kama mnaingia kwenye kampeni ili kugoambana na magufuli basi mjipange pia kulialia.

Mataifa ya nje yenyewe yamemjua magufuli ni mtu wa aina gani. Nyie hadi leo mmeshindwa kung' amua na muda unawaacha.

Narudia tena magufuli hatoongea ye anapiga kazi ila mamalaka zake zitaongea. Tuone nani atapoteza muda.
 
Usipate tabu, upuuzi wa Lissu upo pia hapa. Rais hajaacha urais, kutatua changamoto za wananchi wake ni moja ya majukumu yake.

Nani kakwambia ukiwa raisi sheria zinakuwa juu yako???? Kama kufanya fanya mambo ya kibajeti tu ili uwe na justification sio kugawa hela ivyo.
 
Ajaribu kuvunja watu sasa mwaka huu. Mnatuona watanzania ni wajinga eeeh???? Yani kwa kiburi kabisa Eti unasema atavunja watu. Tena mwambie huyo bwana wako kuwa Wenye dunia yao wamemtegea mitego yote mwaka huu. Usifikiri ile barua ya mawakili wa Amsterdam ni geresha tu . Lolote atakalofanya mwaka huu ajue Kuna arrest warrant kwake yeye na watu wake iko standby huko ICC Uholanzi
 
Concern yako iko vizuri ingawa kwa siasa za hapa kwetu hii trend ya kuacha hoja na kwenda pembeni (off point) imekuwa kama 'kigawe kidogo cha shirika' (the lowest common multiple/denominator) kwa majority ya wanasiasa wetu. Unakuta mwanasiasa anaanza vizuri hotuba yake, then huko mbele anaanza 'meandering'. Hapa nimetoa tu general comment maana sijaisikiliza hotuba yake.
 
Hahah..we unasema barua wakati watu wamekuja na wameondoka kapa.. ndio maana nasema nyie na hao mabwana zako waliaondika barua baadhi yenu hamjajua huyu bwana. Ila mi nimewapa tahadhari tu kuwaamsha.

Hutaki acha.
 
Hahah..we unasema barua wakati watu wamekuja na wameondoka kapa.. ndio maana nasema nyie na hao mabwana zako waliaondika barua baadhi yenu hamjajua huyu bwana. Ila mi nimewapa tahadhari tu kuwaamsha.

Hutaki acha.
Tukutane October 2020
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…