Livestream ya hotuba ya Lissu kwenye Digital Mwananchi iko censored?

..this guy needs a speech writer.

..yes, he is capable of writing his own speeches, but to get to the next level he needs a team of good speech writers.

..he can not continue to be jeshi la mtu mmoja.
Unamzungumzia yupi?
'Mimi sipangiwi! Ni r**s ninaejiamini'
 
Utani pembeni, heshima kwa Tundu Lissu!

He has guts!

Magufuli is getting ethered here [with valid points].

Hahahahaaa.
Lissu anakwenda kuubadili upepo wa kisaisa katika nchi yetu kuanzia 8/ 8 siku ya kuchukua form..

Tanzania's are so excited!!...
 
Ushauri huu utamfaa sana Dr. Slaa maana atagombea kupitia TADEA.
 
Leo utakula likes za Wachaga hadi ushangae, ...
 
Kuna wakat hata kichaa hujiona yupo sawa,pole sana
 
..this guy needs a speech writer.

..yes, he is capable of writing his own speeches, but to get to the next level he needs a team of good speech writers.

..he can not continue to be jeshi la mtu mmoja.
Unamzungumzia yupi?
'Mimi sipangiwi! Ni r**s ninaejiamini'
Hayo yoote uliyoshauri yatafanya tume kutenda haki na kutangaza idadi ya kweli ya kura atakazopata Lissu?
Bravo my friend.
 
Kawaida vichwan kunakua na ubongo (=akili). Ila I think other heads (brain) are simply vacant.
 
Ili kushindana na hilo ambalo linaonekana kuwa ni hujuma,kwanini wasiwekeze katika online account yao ya youtube na waitumie huyi peke yake kuhakikisha wanafanikisha yale yanayotakiwa kufanyika.
 
Kwenye Corona bado sijaona kama Tanzania ni tatizo.

Maisha yanaendelea kama kawaida na spitali hazijaelemewa na wagonjwa.

Hakuna vifo vya halaiki wala makaburi ya halaiki, kama alivyoeleza mwandishi wa makala uliyoileta humu mwezi jana.

Tokea mwezi wa machi mpaka hivi leo mwezi agosti, kama ni kuathirika basi athari zisingeweza kufichika.

Hao waloandika hiyo piece ya NY toilet-paper Times si ajabu hawapo Tanzania.

Tundu Lissu mwenyewe karudi na ki barakoa chake akaishia kukitupa tu.

Jana kwenye nomination convention ya CHADEMA ilikuwa ni handshakes na hugs tu all over the place.

Same today for ACT.

Tanzania haijaathirika sana na corona.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…