Kipangaspecial
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 20,778
- 28,722
Sema 95 ya hao wanaojiita wabunge , sisi wananchi hatukuwapigia kura, walienda bungeni kwa kumwaga damu za wananchi. To hell with themNaunga mkono.
95% ya wabunge wa kuchaguliwa walibebwa na Magufuli walikuwa hawachaguliki mfano Mwana FA na Mbeya mjini!
Utata upi wewe, mkileta fyoko fyoko mtaadabishwaLusinde yuko sawa, kumbeza beza hayati na kumkashfu wakati kuna wengi wanao kubali juhudizake kutaleta utata ukombele.
cha msingi nduli yuko futi ardhini.
yes nitatumia muda uliobakia kwa kufanya mambo ya msingi na sio kuwa na roho chafu kama huyo nduli unayemsifia.Watu wanataka kutembelea mgongo wa JPM.
JPM was the man himself, jeshi la mtu mmoja from nowhere akaamua tu kukomesha pumbavu
Sijaona bado kwenye mifumo na siasa mwenye kufanana na JPM labda mtaani huku wapo na system inawakataaa tu...
Binafsi siku nikipata nafasi ya kuongoza hii nchi nitakuwa mtemi, katili na mnyama zaidi ya JPM, JPM bado alikuwa na huruma sana, binafsi hata hiyo huruma sitokuwa nayo...PUMBAVU ndio kikwazo cha maendeleo ya nchi hii....
Jitu linahujumu miundombinu watu wakose umeme lenyewe lipate hela, Nguzo za umeme from TZ zinakwenda tunduma zinageuza zinapigwa nembo tunaambiwa zimetoka SA...Hivi ukiwa Rais unafanyaje dhidi ya hizi pumbavu kama sio kutoa roho na kuzipoteza kabisa na wengine wajifunze...
ardhini kila binadamu ukiwemo wewe tutakwenda, Kifo ni ibada, na hii ibada inatimizwa na kila mtu cha msingi wewe uliyebaki duniani jitahidi kutumia vizuri muda uliobakiza..
Watu wanataka kutembelea mgongo wa JPM.

Atakuja kujijibu kwa kujipinga na ID yake nyingineHahaaaa ila wewe mara moto mara baridi.
Hueleweki[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
yes nitatumia muda uliobakia kwa kufanya mambo ya msingi na sio kuwa na roho chafu kama huyo nduli unayemsifia.
mjane wa nduli unalia kweri-kweri bado hujaamini kuwa nduli ameisha.Roho chafu ni kwa namna unavyoitafsiri wewe, siajabu hata wewe huko uliko kuna watu wanasema unaroho chafu au mshenzi..
Brother, JPM kama binadamu anayeongoza watu zaidi ya 60M hawezi kuwa sahihi kwa kila mtu au kufurahisha kila mtu..lakini tambua ukiwa kiongozi wa dola unaona kila kitu ambacho wewe raia huwezi kuona...tambua pia nchi hii ina PUMBAVU nyingi zinazohitaji approach ya kinyama na umafia ili nchi iwe huru na wengine mfurahie nchi yenu...
Hahaa tupo wengi sana, tunalaka legasi na kazi viendelee pamoja.Utata upi wewe, mkileta fyoko fyoko mtaadabishwa
Nahisi umeamka vibaya, hii sio ya leo. Ina maana arobaini ya hayati haijafika kweli?Mbunge wa Mtera Livingston Lusinde almaarufu kama Kibajaji, amewashukia kama mwewe Wabunge na Viongozi wa Serikali wanaomsema Vibaya Maguli. Akiongea kwa jaziba huku na povu la kleesoft, alijikita kwenye hoja hizi.
Kiongozi una hasira nae jamaaHuyu mpuuzi yupo hapo kwa njia za giza tupu
mjane wa nduli unalia kweri-kweri bado hujaamini kuwa nduli ameisha.
PUMBAVU nyingi kama alivyokuwa anazipenda yeye mwenyewe Magufuri, kwanza hakupenda ukweli,pili alikuwa msaliti,tatu alikuwa mchoy na mwisho mwuaji.Roho chafu ni kwa namna unavyoitafsiri wewe, siajabu hata wewe huko uliko kuna watu wanasema unaroho chafu au mshenzi..
Brother, JPM kama binadamu anayeongoza watu zaidi ya 60M hawezi kuwa sahihi kwa kila mtu au kufurahisha kila mtu..lakini tambua ukiwa kiongozi wa dola unaona kila kitu ambacho wewe raia huwezi kuona...tambua pia nchi hii ina PUMBAVU nyingi zinazohitaji approach ya kinyama na umafia ili nchi iwe huru na wengine mfurahie nchi yenu...
Na wengine wanamkumbuka kwa mabaya aliyowafanyia katika nchi yao wenyewe kisa kuwa rais akapata passport ya kutesa wengine.Kifo ni ibada ndugu yangu hata wewe utakufa, lakini tutakukumbuka kwa mazuri yako...tunamkumbuka JPM kwa mazuri yake na uthubutu aliokuwa nao ambao wengi hawakuwa nao na hata waliopo wengi pia hawana huo ujasiri na uthubutu...sio CCM wala upinzani..
baasi mjane usilie sana.Kifo ni ibada ndugu yangu hata wewe utakufa, lakini tutakukumbuka kwa mazuri yako...tunamkumbuka JPM kwa mazuri yake na uthubutu aliokuwa nao ambao wengi hawakuwa nao na hata waliopo wengi pia hawana huo ujasiri na uthubutu...sio CCM wala upinzani..
baasi mjane usilie sana.