Watu wanataka kutembelea mgongo wa JPM.
JPM was the man himself, jeshi la mtu mmoja from nowhere akaamua tu kukomesha pumbavu
Sijaona bado kwenye mifumo na siasa mwenye kufanana na JPM labda mtaani huku wapo na system inawakataaa tu...
Binafsi siku nikipata nafasi ya kuongoza hii nchi nitakuwa mtemi, katili na mnyama zaidi ya JPM, JPM bado alikuwa na huruma sana, binafsi hata hiyo huruma sitokuwa nayo...PUMBAVU ndio kikwazo cha maendeleo ya nchi hii....
Jitu linahujumu miundombinu watu wakose umeme lenyewe lipate hela, Nguzo za umeme from TZ zinakwenda tunduma zinageuza zinapigwa nembo tunaambiwa zimetoka SA...Hivi ukiwa Rais unafanyaje dhidi ya hizi pumbavu kama sio kutoa roho na kuzipoteza kabisa na wengine wajifunze...
ardhini kila binadamu ukiwemo wewe tutakwenda, Kifo ni ibada, na hii ibada inatimizwa na kila mtu cha msingi wewe uliyebaki duniani jitahidi kutumia vizuri muda uliobakiza..