Livingston Lusinde: Amani na utulivu haviwezi kuwepo kama kuna wanaomsema vibaya Magufuli

Watu wanataka kutembelea mgongo wa JPM.
JPM was the man himself, jeshi la mtu mmoja from nowhere akaamua tu kukomesha pumbavu

Sijaona bado kwenye mifumo na siasa mwenye kufanana na JPM labda mtaani huku wapo na system inawakataaa tu...

Binafsi siku nikipata nafasi ya kuongoza hii nchi nitakuwa mtemi, katili na mnyama zaidi ya JPM, JPM bado alikuwa na huruma sana, binafsi hata hiyo huruma sitokuwa nayo...PUMBAVU ndio kikwazo cha maendeleo ya nchi hii....

Jitu linahujumu miundombinu watu wakose umeme lenyewe lipate hela, Nguzo za umeme from TZ zinakwenda tunduma zinageuza zinapigwa nembo tunaambiwa zimetoka SA...Hivi ukiwa Rais unafanyaje dhidi ya hizi pumbavu kama sio kutoa roho na kuzipoteza kabisa na wengine wajifunze...
cha msingi nduli yuko futi ardhini.

ardhini kila binadamu ukiwemo wewe tutakwenda, Kifo ni ibada, na hii ibada inatimizwa na kila mtu cha msingi wewe uliyebaki duniani jitahidi kutumia vizuri muda uliobakiza..
 
Kazi ya kuunda kesi ya aibu ya ugaidi unataka kukae kimya? watu wameteswa na sabaya tukae kimya? watu wameuawa kimyama tukae kimya? kaasisi wizi wa kura tanzania nzima tukae kimya?

tutamsema tu utake usitake, kaa chini.
 
Watu wanataka kutembelea mgongo wa JPM.
JPM was the man himself, jeshi la mtu mmoja from nowhere akaamua tu kukomesha pumbavu

Sijaona bado kwenye mifumo na siasa mwenye kufanana na JPM labda mtaani huku wapo na system inawakataaa tu...

Binafsi siku nikipata nafasi ya kuongoza hii nchi nitakuwa mtemi, katili na mnyama zaidi ya JPM, JPM bado alikuwa na huruma sana, binafsi hata hiyo huruma sitokuwa nayo...PUMBAVU ndio kikwazo cha maendeleo ya nchi hii....

Jitu linahujumu miundombinu watu wakose umeme lenyewe lipate hela, Nguzo za umeme from TZ zinakwenda tunduma zinageuza zinapigwa nembo tunaambiwa zimetoka SA...Hivi ukiwa Rais unafanyaje dhidi ya hizi pumbavu kama sio kutoa roho na kuzipoteza kabisa na wengine wajifunze...

ardhini kila binadamu ukiwemo wewe tutakwenda, Kifo ni ibada, na hii ibada inatimizwa na kila mtu cha msingi wewe uliyebaki duniani jitahidi kutumia vizuri muda uliobakiza..
yes nitatumia muda uliobakia kwa kufanya mambo ya msingi na sio kuwa na roho chafu kama huyo nduli unayemsifia.
 
Lakini siyo kuumiza watu makusudi,hivi Mbowe,Lissu,Heche,Wenje,Msigwa,Sugu,Mnyika na Lema kuna mahali popote na hiyo mikataba feki kama Magufuri alikuwa sawa? Je hao watu wanapata taabu na mateso kwa kuhujumu miundombinu ya nchi??Mnapozungumza toeni mifano tutawaelewa,wapinzani walichelewesha sana maendeleo mbona leo mko kijani tupo na matatizo ndiyo yameongezeka pumbavu?
Watu wanataka kutembelea mgongo wa JPM.
JPM was the man himself, jeshi la mtu mmoja from nowhere akaamua tu kukomesha pumbavu

Sijaona bado kwenye mifumo na siasa mwenye kufanana na JPM labda mtaani huku wapo na system inawakataaa tu...

Binafsi siku nikipata nafasi ya kuongoza hii nchi nitakuwa mtemi, katili na mnyama zaidi ya JPM, JPM bado alikuwa na huruma sana, binafsi hata hiyo huruma sitokuwa nayo...PUMBAVU ndio kikwazo cha maendeleo ya nchi hii....

Jitu linahujumu miundombinu watu wakose umeme lenyewe lipate hela, Nguzo za umeme from TZ zinakwenda tunduma zinageuza zinapigwa nembo tunaambiwa zimetoka SA...Hivi ukiwa Rais unafanyaje dhidi ya hizi pumbavu kama sio kutoa roho na kuzipoteza kabisa na wengine wajifunze...

ardhini kila binadamu ukiwemo wewe tutakwenda, Kifo ni ibada, na hii ibada inatimizwa na kila mtu cha msingi wewe uliyebaki duniani jitahidi kutumia vizuri muda uliobakiza..
 
yes nitatumia muda uliobakia kwa kufanya mambo ya msingi na sio kuwa na roho chafu kama huyo nduli unayemsifia.

Roho chafu ni kwa namna unavyoitafsiri wewe, siajabu hata wewe huko uliko kuna watu wanasema unaroho chafu au mshenzi..

Brother, JPM kama binadamu anayeongoza watu zaidi ya 60M hawezi kuwa sahihi kwa kila mtu au kufurahisha kila mtu..lakini tambua ukiwa kiongozi wa dola unaona kila kitu ambacho wewe raia huwezi kuona...tambua pia nchi hii ina PUMBAVU nyingi zinazohitaji approach ya kinyama na umafia ili nchi iwe huru na wengine mfurahie nchi yenu...
 
mjane wa nduli unalia kweri-kweri bado hujaamini kuwa nduli ameisha.
 
Mbunge wa Mtera Livingston Lusinde almaarufu kama Kibajaji, amewashukia kama mwewe Wabunge na Viongozi wa Serikali wanaomsema Vibaya Maguli. Akiongea kwa jaziba huku na povu la kleesoft, alijikita kwenye hoja hizi.
Nahisi umeamka vibaya, hii sio ya leo. Ina maana arobaini ya hayati haijafika kweli?
 
Kama anampenda sana aoneshe kivitendo aende Chato akazikwe kwenye kaburi la marehemu ampe story za duniani watu wanavyomnanga toka aondoke.
 
mjane wa nduli unalia kweri-kweri bado hujaamini kuwa nduli ameisha.

Kifo ni ibada ndugu yangu hata wewe utakufa, lakini tutakukumbuka kwa mazuri yako...tunamkumbuka JPM kwa mazuri yake na uthubutu aliokuwa nao ambao wengi hawakuwa nao na hata waliopo wengi pia hawana huo ujasiri na uthubutu...sio CCM wala upinzani..
 
Roho chafu ni kwa namna unavyoitafsiri wewe, siajabu hata wewe huko uliko kuna watu wanasema unaroho chafu au mshenzi..

Brother, JPM kama binadamu anayeongoza watu zaidi ya 60M hawezi kuwa sahihi kwa kila mtu au kufurahisha kila mtu..lakini tambua ukiwa kiongozi wa dola unaona kila kitu ambacho wewe raia huwezi kuona...tambua pia nchi hii ina PUMBAVU nyingi zinazohitaji approach ya kinyama na umafia ili nchi iwe huru na wengine mfurahie nchi yenu...
PUMBAVU nyingi kama alivyokuwa anazipenda yeye mwenyewe Magufuri, kwanza hakupenda ukweli,pili alikuwa msaliti,tatu alikuwa mchoy na mwisho mwuaji.
 
Kifo ni ibada ndugu yangu hata wewe utakufa, lakini tutakukumbuka kwa mazuri yako...tunamkumbuka JPM kwa mazuri yake na uthubutu aliokuwa nao ambao wengi hawakuwa nao na hata waliopo wengi pia hawana huo ujasiri na uthubutu...sio CCM wala upinzani..
Na wengine wanamkumbuka kwa mabaya aliyowafanyia katika nchi yao wenyewe kisa kuwa rais akapata passport ya kutesa wengine.
 
Kwa wasio mfahamu Lusinde, huyu alikuwa korokoroni wa hayati Captain John Komba na mkewe akiwa housemaid lakini la muhimu elimu yake ni darasa la saba
Kwa elimu hiyo uwezo wa kupambanua mambo ni mdogo sana ndio maana anaongea upuuzi kwenye mjadala muhimu wa fedha za serikali
 
Wewe jamaaa.. Kama umefufuka leo vile.

Hii kitu ya miezi kadhaa iliyopita. Sema mengine basi.
 
Back
Top Bottom