Kuna mambo ambayo yana hitaji wataalamu au wenye historia ya kitu uwaulize kwanza, mfano work permit, nakubaliana kuna rushwa lakini pia kuna sababu ya kuweka restrictions, na pia kuna sehemu tunao local expertise au sababu ya kuwepo mtu wa kumu under study ,
Kuna issues za tra na mambo ya task force, Kuna sababu zake na unatakiwa pia ujue jinsi tatizo lilivyo kuwa kubwa.
Na kutofautisha tax avoidance na tax evasion. Evasion ni criminal act na huyo Director wa kampuni anatakiwa kufungwa kama sio kupigwa faini na mtu wake wa uhasibu au wote walio uhusika.
Ukija hili la LNG plant, pia unatakiwa kujua kilicho kwamisha nini na jinsi ya kutoka hapo na kuonyesha uwazi katika jambo hilo, ili hayo masharti yao yasionekane ni ya "wizi" mfano mtu anapokwambia kitu ni shs kadhaa, he umeangalia na suppliers wengine , mfano hapa tuna shell na equinor upande moja na serikali, kwanini wasiwepo wengine, mfano esso, total, caltex n.k.