wametangulia mbele za haki, ndio, naona akili zako zinaanza kurudi sasa.wale wote wametangulia mbele za haki,ila kutaka kudai ni corona kwa uongo wa wajinga wengine huku tz ni umasikini wa kufikiri.
corona ingefika pale juu hamna mtu angekuwa anazurula bila baracoa hap tz,sisi hatubahatishi mambo kama hapo failed state.
kwani kuingia jF skuizi hadi mashart?huku mnaingia ila kuingia kwenu mashart,mpaka mpimwe kirusi cha sample za nyuma[emoji23][emoji23][emoji23]
punguza hasira basi. hasira ni hasaraKumbe nawasiliana na idiot?
wametangulia mbele za haki, ndio, naona akili zako zinaanza kurudi sasa.
bado huwezi stuka tu na kujiuliza how comes, imekuaje na ni kivipi jamaa wanadondoka kwa style ambayo sio ya kawaida?
wewe huna akili kabisa, ubongo wako umejaa ubwabwa hadi unashindwa kufikiri
Huyo mla miraa asikupotezee muda wako.Wewe una uhakika gani haswa kafa na Corona? Au hisia zako wewe na utakavyo? .. magonjwa mengine yamepotea baada ya Corona ama?
hio isikusumbueIla kwako hutoki? [emoji1][emoji1]
Huyo mla miraa asikupotezee muda wako.
Angalia hii picha kisha utagundua ni wapumbavu aina gani unabishana nao humu. View attachment 1735912
hio isikusumbue
Kuhara! [emoji1][emoji1]wanakufa kwa magonjwa ya kijinga jinga tu[emoji16][emoji16]
kwani kuingia jF skuizi hadi mashart?
Ndio maana huwa nasema mkoloni aliondoka (ga) na akili zao.wanakufa kwa magonjwa ya kijinga jinga tu[emoji16][emoji16]
wewe kenge natamani hayo mambo yaje yakukute uweze kuchungulia kule maskan kisha urudi hapa kutuletea ushuhuda.weee m.du kweli.
kwahiyo watu hawatakiwi kufariki kwa ugonjwa mwingine!!!huku maisha yanaendelea kima wewe.
nikuingie?tunataka cheti kwamba umeingiziwa kijiti nyuma,ndipo uingie.
ukitokea kenya.
wewe kenge natamani hayo mambo yaje yakukute uweze kuchungulia kule maskan kisha urudi hapa kutuletea ushuhuda.
makamu wa rais wa zenj pia hakuamini hivo hivo mpaka yalipomkuta. alipiga yowe hadi dunia nzima ikaskia.
nikifikiria starring wako alivyofichwafichwa kuzuiwa aibu, naona kama nchi nzima imejaa mamburula kupitiliza
Sio Covid mzee ni mfumo wa umeme katika moyo rekebisha hilo neno.Jombaa, acha kujiaibisha kuna exemptions k.m. kwa wahudumu wa afya, polisi, trucks za long distance n.k, sasa itakuwaje wanafunzi wakatazwe kuenda makwao wakati tayari shule zimefungwa? Upo excited kuhusu nini haswa? Naona hamjajifunza hata baada ya msiba wenu wa hivi majuzi ambao ulisababishwa na hivi hivi virusi vya COVID-19. Ukimaliza kuwabeza wakenya nenda ukapige nyungu, wadosi wako wapo safarini wakifata ventilator nchini Kenya.
Mbona Laila Odinga pamoja na haya ma cufew yenu bado aliugua Covid-19? Kwahiyo angekufa mngesema ni uzembe? Afterall Wakenya ndio mnaolazimisha kutangaza eti Magufuli kafa kwa Corona. Ila sisi ukweli tunaujuayule wenu kichwa ngumu alikataa ushauri, uliona yaliyomkuta?
Kabisa mkuu ndio maana Magu kaenda akiwa shujaa.Bora mtwala anayekubali kufa kuliko mtawala kama Uhuru anayeua wengine
Buda, cheza chini man unachoma vibyad..kila mtu atakufa dunia hii lakini inategemea utakufa kwa style gani.
sio kuja kufa kizembe namna starring wako alivyochotwa
nimeamua kuachana na huu uzi. mods wamenipa warning.Buda, cheza chini man unachoma vibyad..
Wapeleke na rieng ya chini chini hizi za kibazenga chorea tu kw sasa