Tazama hapo chini kitu ambacho hawa watu wa kampuni ya dume condoms wameamua kuweka mbele ya kadamnasi ya watanzania.
Kwenye hiyo LOGO yao juu ya herufi M kuna kitu kirefu kimesimama kama nanihii inapenya ndani ya mmmmh.
Jamani kwa wale wanaojali maadili ya kitanzania, hii LOGO inahitaji kufanyiwa marekebisho kabla ya kuwekwa mbele ya kadamnasi ya umma wa watu, la sivyo ibaki huko huko kwenye pakiti za condoms zinazotumika privately.
I stand to be corrected.
View attachment 706444 View attachment 706445