Logo ya Dume Condoms, kuna nini kimesimama juu ya herufi M. Ni sawa na maadili ya kitanzania kweli?

Vyema ungebuni wewe sio kuja kulalamika huku
 
Satanic logo
 
Jaman watu mnajuaa kupotezaa muda khaaa hivi inakuwaje mtu mpkaa unachunguzaa logo ya condom???demu uliyekuwa unamsubiri hakutokea au??mpka ukaamua uanze kusoma na hayo matangazo??kwanza sisi wengine tuna tumia durex na play boy nikikosa saana natumiaa rough rider sasa wew unayepoteza muda na hayo ma logo kwanini usingesoma hata vitabu vya dini
 
Watu wafukunyuku. Dooh

Ila atakama ndio hvyo kweli sioni ubaya, mana ata logo isingekua hvyo kazi ya condom inajulikana tu kua ni vazi la dushe
 
ukiangalia kwa makini unaona icho kichwa cha mhogo kinaingizwa eneo gani? tena chuma mboga.
 
Ulitaka waweke Picha ya ronaldo au?
 
Mbuzi nae unaweza mfikilia mbwa na kukimbia lakin watu wakikuuliza kinacho kukimbiza ndipo yanapokuja maswali mengi bhang kapagawa au anawaza nini?
 
Hizi logo nyingi hufichwafichwa baadhi ya vitu kuvigundua lazima uwe na kitu kichuani.
 
Hapo ukibadilisha tu rangi nyeusi ukaipaka ktk uwawi mbili za M na ktk uwazi wa pembe ndio utaona nini jamaa anazungumzia.
 
Hiyo LOGO ina Taswira mbili

1- its a DOGGY STYLE... (my favourite)

msichana ameinama doggy (hyo alama ya juu) (chuma mboga) (mbuzi kagoma kwenda) then dume limepiga magoti kwa nyuma (M)

2-ni uume unaoingia kunako (angalia M).... tena ukiangalia vizuri unaingia kwenye ndogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…