Logoriddim: Naomba Kura Zenu: Shindano la Made in Tanzania Brand

Link ya kuvote mkuu iko wapi
Sorry, hapa haturuhusiwi kuweka links ila:
  • Fungua Instagram search - Tantradetz.
  • Bofya post ya mwanzo ambayo utaona ina nembo 3 iliyopo juu kushoto. Utafungua ukurasa mpya
  • Bofya kitufe cha comments au palipoandikwa TUPE CHAGUO LAKO au palipoandikwa PIGA KURA YA CHAGUO LAKO HAPA.
  • Utapelekwa moja kwa moja ktk ukurasa wa kupiga kura ambapo utaona vitufe 3 (horizontal bars) zenye herufi A, B, C.
  • Nembo yangu ni hiyo A. Hivyo basi utabofya katika bar A na utakuwa umeshapiga kura yako.
  • Ukikosea Bofya remove vote kisha piga kura upya. Chagua A.
  • Hivi ndio njia pekee na sahihi ya kupiga kura.
  • Ikikupendeza unaweza kuweka comments zako kwa chini.
Ni kitendo cha dakika 1:30 tu
Equivalent to 90 heartbeats.

Natanguliza shukran zangu. Asante
 
Inafunguka kawaida sioni kama ipo pinned, naona tu sehemu ya kucomment siioni link, ntumie link hata pm niende moja kwa moja
 
Habari za asubuhi. Heshima yangu kwenu nyote. Kuna wadau wengi sn nimefanya nao kazi humu since 2013.
Tafadhal sn naomba support zenu.
  • malegend wa humu ambao kila siku nasoma post zenu na
  • Generation Z nao wote.
Natanguliza shukran zangu kwenu nyote ikiwa ni pamoja na kuwaombea Mola Muumba awajaalie baraka tele maishani.
Cc:
Maxence Melo
Mshana Jr Pascal Mayalla Bujibuji Simba Nyamaume
Nyani Ngabu
 
Ila Wana jf mna matatizo kuweka link umeshundwa nini ?

Nachojua link haziruhusiwi upande wa jukwa la matangazo watu mbona wanaweka link za habari m.k
 
Ila Wana jf mna matatizo kuweka link umeshundwa nini ?

Nachojua link haziruhusiwi upande wa jukwa la matangazo watu mbona wanaweka link za habari m.k
Habari Boss. Kuna hiki kinaitwa: Vigezo na masharti kuzingatiwa. Ila usijali. Utaipata link bro.
 
C
 
A
why? Mzunguko wake ni endelevu.
Nyingine zimemeguka, so if business you will drop, if education you will drop if anything you will be cutoff.

A my vote
 
Tantradetz (hapa haturuhusiwi kuweka links)
  • Unaruhusiwa ila isiwe hotlink:
  • Ili kuweka link angalia huu mfano kwenye picha; ambapo mtu ataona link ila hawezi ku_click.
    - Unatakiwa kutumia neno "code" na hizi alama '[ ]'

👇👇
Mfano wa Njia sahihi ya kuweka link:
Code:
https://www.jamiiforums.com/threads/logoriddim-naomba-kura-zenu-shindano-la-made-in-tanzania-brand.2351299/
 
Habari. Asante sn mtaalamu. Na kusomaga sn na educative mada zako. Full of positivity. Always
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…