Tochuku
JF-Expert Member
- Aug 16, 2024
- 5,322
- 8,412
Ulitabiri vyema mkuu hongera...
Pole kwa mdau na A yake..ila najua ingekua ngumu kushinda ..hii kitu inaenda na influence na konekshen mana ni utajiri mtupu huu, mana nembo yako ikitumika popote pale lazima kisherria utapata malipo yako