Logoriddim: Naomba Kura Zenu: Shindano la Made in Tanzania Brand

Nimekupigia kura lakini c inakimbiza.
Kongole kwa C kwa kufanya vizuri hadi sasa. Nembo yake ni nzuri.
Kimsingi, kwa hatua tuliyofikia sisi sote A, B, C ni washindi ila kiasili katika mashindano yyt ni lazima apatikane mshindi mmoja wa kwanza.
Ndio maana na mimi nikaona mzee mzima wacha nikimbize jambo langu kwa watu wangu wa JF kwasababu kwa mtazamo wangu nembo yangu ni bora zaidi na inajieleza.
 
‎Salaam. Heshima yangu kwenu nyote.
‎- Kuna wadau wengi sn nimefanya nao kazi humu since 2013. Tafadhalini sn naomba support zenu.
‎- Malegend wa humu ambao kila siku nasoma post zenu pamoja na
‎- Generation Z nao wote naombeni support zenu.
‎Natanguliza shukran zangu kwenu nyote ikiwa ni pamoja na kuwaombea Mola Muumba awajaalie baraka tele maishani.
 
A
 
1. Muonekano wa nembo ukiwa na rangi ya mandharinyuma nyeupe na nyeusi.
2. Muonekano wa nembo ukiwa ktk rangi nyeusi na nyeupe.
3. Muonekano wa nembo ukiwa ktk bidhaa (mockup)
 
Logoriddim. Gifted by the Almighty. Trusted by Humans.
 
Salaam Dadaangu.
‎Shukran sn.
‎Mola Muumba akujaalie afya njema wewe na familia yao, umri mrefu pamoja na mali yenye manufaa.
‎
‎
Ahsante kwa salam ndugu.
Karibu. Tuko pamoja.
Amiin nashukuru mno kwa dua njema. 🙏
 
Naomba kura yako member mwenzangu.
Logoriddim.
Gifted by the Almighty. Trusted by Humans.
 
Naomba kura yako member mwenzangu.
Logoriddim.
Gifted by the Almighty. Trusted by Humans.
 
Habari za asubuhi. Heshima yangu kwenu nyote. Kuna wadau wengi sn nimefanya nao kazi humu since 2013.
Tafadhal sn naomba support zenu.
  • malegend wa humu ambao kila siku nasoma post zenu na
  • Generation Z nao wote.
Natanguliza shukran zangu kwenu nyote ikiwa ni pamoja na kuwaombea Mola Muumba awajaalie baraka tele maishani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…