Long distance ni mapenzi ya uongo vijana acheni ujinga

Long distance ni mapenzi ya uongo vijana acheni ujinga

Usiusemee moyo wa mwenzio. Km ww haucheat mwenzio ana cheat.
Ss wanaume ndiyo wachepukaje wakubwa. Unaweza kumpigia simu wife, upo nje, ndani kuna mwanamke. Baada ya kumaliza kuongea na simu. Unaenda kuipiga K. Endelea kujisifu
Ugonjwa mkubwa wa mwanaume awe na hela tu. Unaamka asubuhi unaenda kufanya kazi, unarudi jioni, salio linasoma. Usipokuwa na mwanamke, inabidi ukapimwe akili. Utakuwa kichaa
Broo,.endelea kuchapiwa manzi ako na wewe endeleza uzinzi,..watu tupo tunaenjooooyyy za kwetu pekeetu hata mafua hatupati..
 
Ulitaka wajifarijije endapo uhamisho unagomewa na uvccm ,sasa hakuna lugha nyingine zaidi ya lugha ya kufarijiana
 
Wewe pambana tuu na kimeo chako mkuu,..hata mimi hizo situations za long distance nilishakutana nazo sana kiasi nilicheat na wao pia hivyo hivyo,. lakini hayakuwa mafungu yangu,huyu ni MUME ambaye alifanya mengi pengine kunizidi na ndiye ubavu wangu..ndio maana nadiriki kusema "hatuwezi kuchitiana" labda mmoja atangualie mbele ya haki,.hakuna jipya la kutushtua asee[emoji1]
@Carlos The Jackal unamzungumziaje huyu???[emoji28]


Au ndo hajakutana na bahalia[emoji23]
 
Wakuu

Huwa nawashangaa sana watu eti ana mchumba yupo mwanza kikazi na yeye yupo Dodoma kikazi ...halafu wanadai eti wanaaminiana ..!

Kiuhalisia wote wawili ni wachepukaji wazuri sanaa ila ukiwakuta wanaongea kwenye simu sasa "ooh nimekumisi hadi naumwa".. Huo uongo hata shetani anashangaa.

Kijana gani au binadamu gani avumilie genye kwa miezi kama sio mwaka? Tena kijana wa 20's to 30's?

Tuache huu ujinga wa kulea penzi kwa simu kwani ndio hayo mambo ya case study zinajirudia na magonjwa ..

Usiposkia shauri yako
Tulia wewe,watu tuko mbali na tunavumilia uongo

Ila uongo mtamu jamani hata ukiwa karibu huwezi kupata baadhi ya vitu
 
Km asikii raha na ww mkibanjuana basi yupo anayemfanya ajisikie raha. Wanawake wapo selective sana. Km hakupendi, hawezi kuolewa na ww na km ikitokea, hiyo ndoa utakuja kuivunja ww mwenyewe.
Kitu kinachokuunganisha na mkeo ni kupigana miti, hayo mingine ni ubatili mtupu.
Sijui umeelewa nlichoandika mkuu🤔🤔.
Huo uselective unaousema wewe ndo unaweza kukubeba kama mpo mbali kwa maana kua unaempa raha ni wewe sio mwingine umepata hapo??
 
Back
Top Bottom