Long distance ni mapenzi ya uongo vijana acheni ujinga

Anaweza bhanaa,sema hajaamua tuu[emoji1]
Hawezi huyu namjuaga yaan hiyo wiki tu inamshinda kuna kipindi nilienda nyumbani mkoani kisalimia nilikaa wiki 3 aliongea maneno kibao, malalamiko kg10. Mwisho akaniambia nashindwa rudi na machozi juu. Nilivyorudi sasa mbona nilikoma
 
Atakuwa ni mngoni...wangoni wa kike au wa kiume ni noma sana
 
Hawezi huyu namjuaga yaan hiyo wiki tu inamshinda kuna kipindi nilienda nyumbani mkoani kisalimia nilikaa wiki 3 aliongea maneno kibao, malalamiko kg10. Mwisho akaniambia nashindwa rudi na machozi juu. Nilivyorudi sasa mbona nilikoma
Ikawa mchakamchaka,.woiiii🙌
 
Kuchapiwa unachapiwa tu haijalishi....kikubwa usijue ..awe mbali au awe karibu bor usijue na muwe salama..vitu vingine vigumu kuvi handle na ukivifatilia ndo unasababisha kupoteza vingine zaidi...so cha msing trust yourself no body is trustfull.....
 
Wakuu

Huwa nawashangaa sana watu eti ana mchumba yupo mwanza kikazi na yeye yupo Dodoma kikazi ...halafu wanadai eti wanaaminiana ..!

Kiuhalisia wote wawili ni wachepukaji wazuri sanaa ila ukiwakuta wanaongea kwenye simu sasa "ooh nimekumisi hadi naumwa".. Huo uongo hata shetani anashangaa.

Kijana gani au binadamu gani avumilie genye kwa miezi kama sio mwaka? Tena kijana wa 20's to 30's?

Tuache huu ujinga wa kulea penzi kwa simu kwani ndio hayo mambo ya case study zinajirudia na magonjwa ..

Usiposkia shauri yako
Mbona mnalala nao na kuamka nao na bado wanachepuka pia.
 
Long distance relationships ni kwa watu wakomavu kifikra na wenye nidhamu binafsi ya hali ya juu.Sio kwa kuwa haifanyi kazi kwa wengi,basi haifanyi kwa wote,hapana.

Kukosea kupo,kama ilivyo kwenye mahusiano ya kawaida,lakini nidhamu na ukomavu kifikra husaidia wenza kutotoka kwenye lengo lao kuu.
Umezungumza jambo muhimu sānja hapa,
 
Kwahiyo waache kazi ili tu watiane daily!???
Wakuu

Huwa nawashangaa sana watu eti ana mchumba yupo mwanza kikazi na yeye yupo Dodoma kikazi ...halafu wanadai eti wanaaminiana ..!

Kiuhalisia wote wawili ni wachepukaji wazuri sanaa ila ukiwakuta wanaongea kwenye simu sasa "ooh nimekumisi hadi naumwa".. Huo uongo hata shetani anashangaa.

Kijana gani au binadamu gani avumilie genye kwa miezi kama sio mwaka? Tena kijana wa 20's to 30's?

Tuache huu ujinga wa kulea penzi kwa simu kwani ndio hayo mambo ya case study zinajirudia na magonjwa ..

Usiposkia shauri yako
 
@Carlos The Jackal unamzungumziaje huyu???[emoji28]

Au ndo hajakutana na bahalia[emoji23]
Ile falsafa ya "The more distance from sight equals the more distance from heart!"

This is why people cheat. Mke ni One to Many function. Wanaume wawili au zaidi wanaweza kumtia miti at different sessions. Hamna haja ya kujipa false hopes tu amini lolote linaweza tokea mkiwa apart.

We are social fathers.
 
Back
Top Bottom