Mother Confessor
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 18,677
- 45,532
Broo,.endelea kuchapiwa manzi ako na wewe endeleza uzinzi,..watu tupo tunaenjooooyyy za kwetu pekeetu hata mafua hatupati..Usiusemee moyo wa mwenzio. Km ww haucheat mwenzio ana cheat.
Ss wanaume ndiyo wachepukaje wakubwa. Unaweza kumpigia simu wife, upo nje, ndani kuna mwanamke. Baada ya kumaliza kuongea na simu. Unaenda kuipiga K. Endelea kujisifu
Ugonjwa mkubwa wa mwanaume awe na hela tu. Unaamka asubuhi unaenda kufanya kazi, unarudi jioni, salio linasoma. Usipokuwa na mwanamke, inabidi ukapimwe akili. Utakuwa kichaa
Eti "lazima uchepuke" sio wote ni wewe na ushamba wako wa mshahara, kuna wanaume wanaheshimu familia zao aisee na wako na pesa ya kutosha.Kwa sisi wanaume ni ngumu kukaa muda mrefu mbali bila kufanya mapenzi.
Unafanya kazi na mshahara unapewa. Lazima uchepuke tu
Yani uhache kugegeda alafu uwe unashusha bendera na kuipandisha?? Huu ndo ufala sasa.Swala la msingi ni kutunza uaminifu kwa kutokukutana kimwili na mtu yeyote
@Carlos The Jackal unamzungumziaje huyu???[emoji28]Wewe pambana tuu na kimeo chako mkuu,..hata mimi hizo situations za long distance nilishakutana nazo sana kiasi nilicheat na wao pia hivyo hivyo,. lakini hayakuwa mafungu yangu,huyu ni MUME ambaye alifanya mengi pengine kunizidi na ndiye ubavu wangu..ndio maana nadiriki kusema "hatuwezi kuchitiana" labda mmoja atangualie mbele ya haki,.hakuna jipya la kutushtua asee[emoji1]
Ngoja nimuite vizuri akuje damu yangu mwenyewe Carlos The Jackal njoo utam wa mtu😅@Carlos The Jackal unamzungumziaje huyu???[emoji28]
Au ndo hajakutana na bahalia[emoji23]
Tulia wewe,watu tuko mbali na tunavumilia uongoWakuu
Huwa nawashangaa sana watu eti ana mchumba yupo mwanza kikazi na yeye yupo Dodoma kikazi ...halafu wanadai eti wanaaminiana ..!
Kiuhalisia wote wawili ni wachepukaji wazuri sanaa ila ukiwakuta wanaongea kwenye simu sasa "ooh nimekumisi hadi naumwa".. Huo uongo hata shetani anashangaa.
Kijana gani au binadamu gani avumilie genye kwa miezi kama sio mwaka? Tena kijana wa 20's to 30's?
Tuache huu ujinga wa kulea penzi kwa simu kwani ndio hayo mambo ya case study zinajirudia na magonjwa ..
Usiposkia shauri yako
Anaweza bhanaa,sema hajaamua tuu😄Mimi nilishawahi kumwambia shemeji yenu akikubali kazi flani ambayo itamfanya tuishi mbalimbali nitamsaliti. Nilimwambia hivyo kusudi maana namjua hawezi kukaa miezi 3 bila kula mambo.
Sijui umeelewa nlichoandika mkuu🤔🤔.Km asikii raha na ww mkibanjuana basi yupo anayemfanya ajisikie raha. Wanawake wapo selective sana. Km hakupendi, hawezi kuolewa na ww na km ikitokea, hiyo ndoa utakuja kuivunja ww mwenyewe.
Kitu kinachokuunganisha na mkeo ni kupigana miti, hayo mingine ni ubatili mtupu.
Hahahahha aombe sanaa Asikutane na Baharia mwenye mvuto wa Jini[emoji23][emoji23][emoji23]@Carlos The Jackal unamzungumziaje huyu???[emoji28]
Au ndo hajakutana na bahalia[emoji23]
Niaaaaje Ma Bloood [emoji8]Ngoja nimuite vizuri akuje damu yangu mwenyewe Carlos The Jackal njoo utam wa mtu[emoji28]
Nimekuham😘Niaaaaje Ma Bloood [emoji8]
Bora apige nyeto kulikoHao wanaishiaga kuwa masters of masturbation tuu hamna lolote.