"Long Distance Relationship" yako ilidumu kwa muda gani au huataki hata kusikia mahusiano ya mbali?

Mkumbuke kwa mazuri mabaya muachie yeye na shetani wake,mtunze kijana wako kwa upendo wako wote,usimdekeze kwakua atakua mjinga akikutana na maisha halisi mtaani,Hio ndio baraka yako,ktk maisha ili usiumie sana kua na tabia ya kusema β€œNifanyeje hapa au hapa nipite njia gani β€œ ila usisema kwanini mimi
 
Mzee wa hovyo🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…