"Long Distance Relationship" yako ilidumu kwa muda gani au huataki hata kusikia mahusiano ya mbali?

"Long Distance Relationship" yako ilidumu kwa muda gani au huataki hata kusikia mahusiano ya mbali?

Yalichonitenda Mungu mwenyewe anajua, jamaa nilidumu nae miaka mitano sikuwahi kumsaliti ila alichonilipa najua mwenyewe kidogo nipelekwe milembe ila nikapelekwa kwa Mwamposa mpaka sasa huyo mjinga amenifanya kuwa single mother wa mtoto ambaye baba yake sikuwahi kumpenda ila nilienda kwake kama kupunguza machungu nikaambulia mtoto. hila yule mb*a popote alipo Mungu amlinde tu make nilimuona mungu mtu nikaambulia kuona picha za harusi mtandaoni.
Mkumbuke kwa mazuri mabaya muachie yeye na shetani wake,mtunze kijana wako kwa upendo wako wote,usimdekeze kwakua atakua mjinga akikutana na maisha halisi mtaani,Hio ndio baraka yako,ktk maisha ili usiumie sana kua na tabia ya kusema “Nifanyeje hapa au hapa nipite njia gani “ ila usisema kwanini mimi
 
Nimewahi kuwa na long distance relationship iliyodumu miaka 1,2 hadi 3

Nilichogundua pamoja na kuwasiliana Kwa simu wakati mwingine kutumiana nudes lakini haisaidii kitu.

Yaani utaishia kumtia nyege binti wa watu huko alipo kisha kujikuta akimtunuku jamaa mwingine ili kushusha nyege ulizompandisha Kwa video calls ama sex chat

Ndiyo maana sisi Wazee tulikuja na msemo wa "Fimbo ya mbali haiui Nyoka"
Mzee wa hovyo🤣
 
Back
Top Bottom