Bantu Lady
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 8,900
- 28,398
Ndiyo neno sahihi kabisa babu. Yaani kuachana kabisa hatuwezi ila kumuacha tu, simu isipopokelewa, ikiwa imezimwa kishaachwa. 😉Mnakuwa kama Umeme wa Tanesco Leo upo Jioni hakuna 😜
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndiyo neno sahihi kabisa babu. Yaani kuachana kabisa hatuwezi ila kumuacha tu, simu isipopokelewa, ikiwa imezimwa kishaachwa. 😉Mnakuwa kama Umeme wa Tanesco Leo upo Jioni hakuna 😜
YesMkuu, mwaka mmetoboa bila kuonana?
Uko sahihi kwanza iwe ni wewe mwenyewe, pili ndo iwe kwa ajili ya mtuKwaajili yako labda sio kwaajili ya mtu utajuta kujitunza kisa mtu utajilaumu sana
Safi sana mkuu, umenipa moyo kumbe kila kitu kinawezekana.
Bila kuonana wala kujigjig, ila yataisha ni kuvumilia tu, kama mnapendana mnavumiliana. Ila unakuwa kama mchunga kondoo 🤣🤣🤣🤣🤣Kumbe na wewe tajiri mapenzi yanakuchanganya kidogo😁? Vp iyo miaka miwili ni bila mizagamuano kabisa?
Tatizo la Vijana wa Siku hizi wamekuwa wabishi sanaWaambue vijana waoe/kuolewa,waaachane na vijambazi vya mapenzi vitawaua.
Hivi kwanini mapenzi hayakosagi drama?Mimi ni miaka miwili, ila ndiyo namuacha kila siku na tunarudiana 😆😆😆😆😆😆 Long distance relationship si ya kila mtu. Ila kwa uwezo wake Mungu, tutafika tunakokwenda.
6 months hadi sasa , miaka ya nyuma nilikuwa nakaa hata 2 years .Mna mda gani hamjakutana mkuu?
Nimekupata mkuu, ngoja niongeze juhudi kwenye communication niliyumba kidogo.Nakwambia kitu nilichowahi kukiishi, hata mie mwanzoni sikudhani km ningeweza ila niliweza na ilikuwa mahusiano ya kawaida baada ya mwaka ndipo akaniposa....miaka 3 tukakutana
Hahaha......... hiyo KaliNdiyo neno sahihi kabisa babu. Yaani kuachana kabisa hatuwezi ila kumuacha tu, simu isipopokelewa, ikiwa imezimwa kishaachwa. 😉
Na Siku zote partner aliyepo Dar ndo hua analeta ShidaHabari wakuu,
Mpaka sasa nipo mbali na shemeji yenu ni mwaka sasa hatujaonana sababu ya issue za utafutaji japo mawasiliano yapo strong kiasi chake.
Ila mahusiano ya mbali ni Mungu tuu awe kati kutoboa ni kazi.
Nafikiri drama ndiyo yanafanya yanoge na kuwa hai. Yaani ni drama acha. Uzuri cha kwanza ni rafiki yangu. Tukigombana kimapenzi, tunabaki kuongea kama marafiki, mara tumerudi kuwa wapenzi 😂😂😂😂😂Hivi kwanini mapenzi hayakosagi drama?
Mkuu mbona unazidi kuzamisha jahazi.Na Siku zote partner aliyepo Dar ndo hua analeta Shida
Mkumbuke kwa mazuri mabaya muachie yeye na shetani wake,mtunze kijana wako kwa upendo wako wote,usimdekeze kwakua atakua mjinga akikutana na maisha halisi mtaani,Hio ndio baraka yako,ktk maisha ili usiumie sana kua na tabia ya kusema “Nifanyeje hapa au hapa nipite njia gani “ ila usisema kwanini mimiYalichonitenda Mungu mwenyewe anajua, jamaa nilidumu nae miaka mitano sikuwahi kumsaliti ila alichonilipa najua mwenyewe kidogo nipelekwe milembe ila nikapelekwa kwa Mwamposa mpaka sasa huyo mjinga amenifanya kuwa single mother wa mtoto ambaye baba yake sikuwahi kumpenda ila nilienda kwake kama kupunguza machungu nikaambulia mtoto. hila yule mb*a popote alipo Mungu amlinde tu make nilimuona mungu mtu nikaambulia kuona picha za harusi mtandaoni.
Aiseeeeeh!Kuna Vijana eti vinapigishana video calls na wapenzi wao hadi wanashusha Wazungu
Mzee wa hovyo🤣Nimewahi kuwa na long distance relationship iliyodumu miaka 1,2 hadi 3
Nilichogundua pamoja na kuwasiliana Kwa simu wakati mwingine kutumiana nudes lakini haisaidii kitu.
Yaani utaishia kumtia nyege binti wa watu huko alipo kisha kujikuta akimtunuku jamaa mwingine ili kushusha nyege ulizompandisha Kwa video calls ama sex chat
Ndiyo maana sisi Wazee tulikuja na msemo wa "Fimbo ya mbali haiui Nyoka"
Kuwa na imani na Wazee Mjukuu 😜Mzee wa hovyo🤣
😅😅😅😅😅Na Siku zote partner aliyepo Dar ndo hua analeta Shida
Hatari 😅😅Aiseeeeeh!