Longido, Arusha: Vijana 70 wakamatwa na chuo chao kufungwa wakifundishwa karate na mafunzo ya siasa kali

Karate ina shida gani! Na hizo imani au sijui siasa kali ndiyo zipi? Nchi ina udini hii watangaze tu kama nchi ni ya kikristo kama Zambia kuliko kuwafanyia visa Waislamu kila siku halafu nawashangaa sana viongozi waislamu wanavyokaa kimya kama mazuzu!
Acha ujinga mtoto wa miaka saba hadi kumi na sita anapaswa kuwa angalau na elimu ya kidato cha nne ,unakusanya vitoto miaka saba ,nane unavifundisha ujinga serikali itazame tu.
 
Wasitazame tu wawaue wote na wawamalize kabisa maana ndiyo wanaofanya dunia isiwe na raha au vipi!
 
Karate ni mafunzo ya hatar ? Wenzetu mbona mnapenda kukuza mambo kwa malengo yenu? Mtu mwenye kujua karate anaweza kumdhuru nani katika ulimwengu huu wa kisasa??
 
Kama unafundisha mapigano yoyote yasajiri.
Kama umeanzisha chuo cha Karate kisajiri.
Kitendo cha kufundisha mapigano kwa siri ni Ugaidi.
Fungua chuo cha mapigano, kitangaze tutakuja kujifunza.
 
Na nyie wakristo mkiona rafu kwa waislamu, mnakuja kwa nguvu, kutia chuvi. Kwa taarifa yenu, dini zenu hizi za kikoloni sio za kweli hata moja, sawa na mpira tu, simba na yanga.
 
Huo ni ukweli mchungu. Mi nashangaa sana watu wanaobishana dini
 
Back
Top Bottom