Lori lililobeba mafuta limepinduka Kibaha, wananchi wachota mafuta bila woga

Lori lililobeba mafuta limepinduka Kibaha, wananchi wachota mafuta bila woga

Lori lililobeba mafuta limepinduka katika eneo la Misugusu, Kibaha mkoani Pwani, ambapo kundi kubwa la wananchi wamejitokeza kuchota mafuta, ambayo yanamwagika, licha ya Askari kuwazuia lakini wameendelea kuchota mafuta hayo.

View attachment 2963351

source ITV TANZANIA.
Labda ni diesel

Hawafikirii mbali anaweza kujitokeza mjinga mmoja amechoka kuishi akafanya yake
 
Lori lililobeba mafuta limepinduka katika eneo la Misugusu, Kibaha mkoani Pwani, ambapo kundi kubwa la wananchi wamejitokeza kuchota mafuta, ambayo yanamwagika, licha ya Askari kuwazuia lakini wameendelea kuchota mafuta hayo.

View attachment 2963351

source ITV TANZANIA.

TATIZO NI UMASIKINI..
MTU MASIKINI HAONI DHAMANI YA MAISHA
HIVYO PAMOJA NA JITIHADA ZA KUELIMISHANA, TUENDELEE NA JITIHADA ZA KUPUNGUZA UMASIKINI AMBAPO ITAKUWA RAHISI KAMA WAFANYAKAZI WA UMMA WATAISHI KWA VIPATO VYAO HALALI
 
Back
Top Bottom