proton pump
JF-Expert Member
- Apr 30, 2017
- 6,814
- 10,104
dronedrake ndio huko ulipo mkuu chonde chonde usisogee karibu nakupenda sana wasijechomoa betrii bure
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
dronedrake ndio huko ulipo mkuu chonde chonde usisogee karibu nakupenda sana wasijechomoa betrii bure
😀😀😀😀 watahakikisha betri haichomolewi sio
Ogopa umaskini. Ogopa kukosa hata 100 mfukoni.Sio roho mbaya zee ila hao wote Wana akili timamu ila wamekubali kurisk roho zao kwa malipo ambayo hayawezi kukupa hata pesa ya kula mwaka mmoja, watu kama hao ni bora watangulie akhera tubaki na wenye akili timamu
Labda waliambiana,asiguse mtu betry 😄Na wanaovuta sigara je?
Ni umaskini au ujinga?Lori lililobeba mafuta limepinduka katika eneo la Misugusu, Kibaha mkoani Pwani, ambapo kundi kubwa la wananchi wamejitokeza kuchota mafuta, ambayo yanamwagika, licha ya Askari kuwazuia lakini wameendelea kuchota mafuta hayo.
=====
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Pwani, Pius Lutumo amesema:
Chanzo cha ajali ni Lori kuacha njia na kuanguka maeneo ya Misugusugu, baada ya ajali hiyo Wananchi walijitokeza na kuanza kuchota mafuta jambo ambalo ni la hatari.
Tayari Jeshi la Polisi limefanikiwa kuwadhibiti watu wote waliokuwa wamejitokeza kuchota mafuta, pia hakuna madhara yoyote kwa binadamu kwa maana ya Dereva, Wapita njia na watu wengine wote waliokuwa eneo la tukio.
Fursa lazima uifanyie calculations, hiyo ni fursa uchwara lakini inaonekana ni fursa kwa sababu ya umaskini uliokomaa.Hakuna ujinga hapo..
Ukiangalia kwa jicho la nyama utaona ni ujinga..
Ila kwa jicho la roho hiyo ni fursa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Umaskini ni kitu kibaha sanaAisee! Inasikitisha sana
Wamesahau Ya MorogoroMBAYA SANA
Kabisa mkuuUmaskini ni kitu kibaha sana
Rahisi sana kuwadhibiti bila kutumia nguvu, kijiti kimoja cha kibiriti wote wanaondoka.Lori lililobeba mafuta limepinduka katika eneo la Misugusu, Kibaha mkoani Pwani, ambapo kundi kubwa la wananchi wamejitokeza kuchota mafuta, ambayo yanamwagika, licha ya Askari kuwazuia lakini wameendelea kuchota mafuta hayo.
=====
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Pwani, Pius Lutumo amesema:
Chanzo cha ajali ni Lori kuacha njia na kuanguka maeneo ya Misugusugu, baada ya ajali hiyo Wananchi walijitokeza na kuanza kuchota mafuta jambo ambalo ni la hatari.
Tayari Jeshi la Polisi limefanikiwa kuwadhibiti watu wote waliokuwa wamejitokeza kuchota mafuta, pia hakuna madhara yoyote kwa binadamu kwa maana ya Dereva, Wapita njia na watu wengine wote waliokuwa eneo la tukio.
Huu sio uamuzi wao bali wanalazzimishwa na umasikini uliowajaa ambao umesababishwa na serikali ya kipimbi ya CCM. Walaaniwe maCCM na vizazi vyao.Lori lililobeba mafuta limepinduka katika eneo la Misugusu, Kibaha mkoani Pwani, ambapo kundi kubwa la wananchi wamejitokeza kuchota mafuta, ambayo yanamwagika, licha ya Askari kuwazuia lakini wameendelea kuchota mafuta hayo.
=====
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Pwani, Pius Lutumo amesema:
Chanzo cha ajali ni Lori kuacha njia na kuanguka maeneo ya Misugusugu, baada ya ajali hiyo Wananchi walijitokeza na kuanza kuchota mafuta jambo ambalo ni la hatari.
Tayari Jeshi la Polisi limefanikiwa kuwadhibiti watu wote waliokuwa wamejitokeza kuchota mafuta, pia hakuna madhara yoyote kwa binadamu kwa maana ya Dereva, Wapita njia na watu wengine wote waliokuwa eneo la tukio.
Umasikini mbaya sana.People have forgotten already
Kuna gari la mafuta liliwahi kuanguka Kisha watu Kama kawaida yao wakajichotea mafuta , Kisha mwenye busara zake akaona mafuta sio kitu akafuata betri kubwa za gari , kwenye kuchumoa terminal sasa jamaa akakoroga ikawa Kama kapiga kiberiti.....Watu kama wapo kisimani vile ilihali kuna cheche za hatari asee
Hatari sana aiseeMBAYA SANA
Yaani naomba yasitokee kama yale wakati ule likawapitia na mama ntilie waliokuwa wamekaa zaoMungu awanusuru na Dhiki walizonazo. Inaonekana maisha yao yanakabiliwa na Moto wa Umasikini. Ambao hauna tofauti na Huo wa petroli sema speed ya kuunguza ndio zinayofauti.
Anaewashutumu Asemehewe Bure.