Lori lililobeba mafuta limepinduka Kibaha, wananchi wachota mafuta bila woga

Lori lililobeba mafuta limepinduka Kibaha, wananchi wachota mafuta bila woga

Hawa wapumbafu waje kufa waanze kulalamikia serikali, unakuta eti wanaanza kulalamikia serikali iwatibu bure majeraha ya kuungua kumbe ni wizi wao,.

Serikali ifanye kuwakamata wapuuzi hao iwape kesi ya wizi na kutaka kujiua.
 
Lori lililobeba mafuta limepinduka katika eneo la Misugusu, Kibaha mkoani Pwani, ambapo kundi kubwa la wananchi wamejitokeza kuchota mafuta, ambayo yanamwagika, licha ya Askari kuwazuia lakini wameendelea kuchota mafuta hayo.

View attachment 2963351

source ITV TANZANIA.
miongoni mwa majanga mabaya na hatarishi sana kwa afya na maisha ya mwanadamu 🐒

Tamaa mbaya sana aise, hata kama inachochewa na njaa na ugumu wa maisha 🐒

suluhisho ni juhudi katika kufanya kazi katika ya kutafuta vya haki na halali, kwani mtaji ni nguvu zako mwenyewe 💪
 
Maisha magumu,kitendo tu cha kuwa na dumu nyumbani maana yake ndio wanachotea maji kwenye mabomba au visina vya mbali na kwao.
 
Acha Roho Mbaya dogo japo wanasikitisha sana. 😀😃😄😁😆
Sio roho mbaya zee ila hao wote Wana akili timamu ila wamekubali kurisk roho zao kwa malipo ambayo hayawezi kukupa hata pesa ya kula mwaka mmoja, watu kama hao ni bora watangulie akhera tubaki na wenye akili timamu
 
Back
Top Bottom