Lori lililobeba mafuta limepinduka Kibaha, wananchi wachota mafuta bila woga

Lori lililobeba mafuta limepinduka Kibaha, wananchi wachota mafuta bila woga

Yaani naomba yasitokee kama yale wakati ule likawapitia na mama ntilie waliokuwa wamekaa zao

Kuna watu walimeza ule mvuke walipowaka moto moto ulikuwa unatoka puani na mdomoni kama Dragon nilishangaa sana ila walikufa kwa maumivu makali sana
Jamani... Umenigutusha Mkuu wangu. Dah. Shida haina adabu ila moto nao ni Kimbembe kingine. Pole kwa hiyo trauma.
 
Jamani... Umenigutusha Mkuu wangu. Dah. Shida haina adabu ila moto nao ni Kimbembe kingine. Pole kwa hiyo trauma.
Ila yote hayo wanayaona kwa wenzao na bado wanaenda kurudia makosa
Inahuzunisha sana ila hata kama ni shida sio ya hivyo
Huwa yanatokea nchi masikini tu na Africa huwa yanatokea sana
Inasikitisha sana ila ilkuwa kama horror movie mtu anakimbia anawaka moto daa
Inatakiwa kutoa somo sana
 
Unakufa kwa moto ukiwa unaiba mafuta, na mbinguni ukienda unakutana na moto.
 
Chanzo cha ajali ni Lori kuacha njia na kuanguka maeneo ya Misugusugu, baada ya ajali hiyo Wananchi walijitokeza na kuanza kuchota mafuta jambo ambalo ni la hatari.

Hapo asilimia kubwa ya wachota wese ni madereva boda boda na bajaj..
 
Ni reflection ya maisha halisi ya watanzania na kuwa masikini bado ni wengi they even take risks which may lead to fatality.

Mwigulu anakuambia maisha safi gari mpya zipo nyingi bandarini.
 
Back
Top Bottom