Joan lewis
JF-Expert Member
- Jan 3, 2019
- 993
- 1,463
Wabunge wanalipana 18Milyaleyale kanga,tshirt,kofia wanauza kura.akuna mabadiliko watu wenu ndio hao hapo.
Wabongo kweli ni vichwa vya wendawazimuLori lililobeba mafuta limepinduka katika eneo la Misugusu, Kibaha mkoani Pwani, ambapo kundi kubwa la wananchi wamejitokeza kuchota mafuta, ambayo yanamwagika, licha ya Askari kuwazuia lakini wameendelea kuchota mafuta hayo.
View attachment 2963351
source ITV TANZANIA.
miongoni mwa majanga mabaya na hatarishi sana kwa afya na maisha ya mwanadamu πLori lililobeba mafuta limepinduka katika eneo la Misugusu, Kibaha mkoani Pwani, ambapo kundi kubwa la wananchi wamejitokeza kuchota mafuta, ambayo yanamwagika, licha ya Askari kuwazuia lakini wameendelea kuchota mafuta hayo.
View attachment 2963351
source ITV TANZANIA.
Hebu iandike kisukuma...nimemkumbuka mwalimu wangu akiitwa MatoHe he he Tanzania. Nilijua tu kusikia kwa kenge mpaka damu itoke maskioni
Ingependeza lilipuke waungue mpaka kufa
Ingependeza lilipuke waungue mpaka kufa
Ingependeza lilipuke waungue mpaka kufa
UMASIKINI WA WANANCHI HAWAOGOPI HATA KUFALori lililobeba mafuta limepinduka katika eneo la Misugusu, Kibaha mkoani Pwani, ambapo kundi kubwa la wananchi wamejitokeza kuchota mafuta, ambayo yanamwagika, licha ya Askari kuwazuia lakini wameendelea kuchota mafuta hayo.
View attachment 2963351
source ITV TANZANIA.
Hebu iandike kisukuma...nimemkumbuka mwalimu wangu akiitwa Mato
They never learn from past mistakes!People have forgotten already
Na wanaovuta sigara je?Wahakikishe tu ulinzi hapo kwenye betri.
Safari watachukua precautionsNa wanaovuta sigara je?
ππππ watahakikisha betri haichomolewi sioSafari watachukua precautions
Usamehewe Bure.
Sio roho mbaya zee ila hao wote Wana akili timamu ila wamekubali kurisk roho zao kwa malipo ambayo hayawezi kukupa hata pesa ya kula mwaka mmoja, watu kama hao ni bora watangulie akhera tubaki na wenye akili timamuAcha Roho Mbaya dogo japo wanasikitisha sana. πππππ